Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa sasa ndiye Mtu Maarufu zaidi Mkoani Mbeya

Mkuu unaishi mbeya au unasikia tu maneno kwenye vijiwe vya kahawa?
Mbeya ndo nyumban nimeishi mbeya nimesoma Olevel Advance nimesoma hapo mbalizi secondary.....Mjini imenileta University lakin kila wikend ya mwisho wa mwezi nakuwa mbeya kukagua shughul zang so siji bure lazma niulizie upepo na hari ya kisiasa mana ndo nilimolelewa kwa hiyo natoa conclusion SUGU harud bungeni 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom