Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa sasa ndiye Mtu Maarufu zaidi Mkoani Mbeya

Iwe kwa kabali iwe ndumulange jimbo tunachukua saa 12 jion siku hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka miaka ya 90 mzee Mwanjisi akiwa anapiga safari za Kyl - Mby na chai maharage yake, yeye akiwa dereva mimi na mwanae Edgar tukiwa washika bomba nyuma, alikuwa hapendi kabisa kusikia mambo ya akina sijui Maparara, Cheo au kujadili mambo ya siasa kwenye gari yake, hata kama ni abiria anakushusha na nauli alikuwa harudishi.
Utukufu mdogo wangu, soma, fanya shughuli zako, unaobishana nao ndio wadau wako. Tumia jina la Mwanjisi kujiimarisha
 
Nashukuru mkuu ila kusoma nishamaliza na shughuli nazifanya kama hapa nazan ni shughuli mojawapo haraf SUGU hawez akawa mdau kwangu. ...haraf pia hapa ndani tunabishana kwa hoja na ukwel tunaujua mapema tu ko sidhan kama ubishan wang hapa mimi na wewe tutaupeleka kwenye shughul zetu binafsi ambazo zitahitaj mimi na wewe kushare kufika sehem

kumbe ukiongea na marafiki wa babaako unakuwa na adabu eeee ! sasa mimi ndio niliyemshauri Mzee Mwanjisi kuuza kile ki chai maharage na kununua coaster , humu vijana msitukosee heshima siye wengine ni wakubwa zenu , Mwanjisi kwa mara ya kwanza nilionana naye Makandana
 
Sizan nimewah kukukosea adabu mkuu zaidi ya kubishana kiitikadi mana kila mtu ana imani na aliko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifa nyingine kweli za ajabu unaweza kumsifia kenge kuwa ni mamba,hivi sugu ana umaarufu gani dhidi ya Mzee Mwandosya,Mwakyembe,Tulia?hawa watatu ni viongozi wa kimkoa wakati sugu ni kiongozi wa Mwanjelwa,hawa niliowataja wamefanya makubwa mkoani Mbeya na sio kama huyo unayemsifia kubwa zaidi kajenga hoteli yake Uzunguni.Taja hapa kipi ambacho amekifanya Mkinga huyu kwa mkoa wa Mbeya
Ni kweli mkuu wanaomsifia Sugu ni vibaka wenziwe, eti "rais" ambaye tayari ameonja lupango.
Miaka ina katika umasikini wa machinga Mbeya mjini ni ule ule, barabara kuingia Mbeya mjini ni kichefu chefu, hata ushawishi kwa wananchi wake waache kujenga nyumba za matofali matope hakuna.

Halafu anatokea mjinga eti Sugu rais.
 
Sugu Rais wa Mbeya , hutaki kafie mbele
 
Back
Top Bottom