HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,733
- 5,553
Chasimba ni eneo hatar na ni maficho ya vibaka wa maeneo ya Tegeta, Boko na Bunju, maeneo hayo yamekithiri wizi na polisi wa vituo vya wazo na basihaya ndio wanalea huu ujinga.
Binafsi nina kesi tatu zinanihusu eneo hilo, tuliibiwa noah na kibaka aliweza kuishi chasimba kwa zaidi ya miezi 6 bila kumkamata, pili tulipigwa dollar za kutosha na mwizi aliweza kutuhangaisha eneo hilo kwa msaada wa polisi pamoja na ushahidi wa wazi lakini aliweza kusaidiana na polisi na hela ikapotea, leo ni siku ya 2 tangu nimepigwa hela nzuri tu, na kibaya zaidi nimeenda polisi kuripoti baada ya muda polisi wanampigia mtuhumiwa simu kuwa umekuja kuchukuliwa RB ya kukamatwa. Eneo hili wamelipata kwa dhuluma kwa kisingizio cha raia masikini lakini ni hatar sana kwa usalama wa wapenda amani, pia ni hatar kwa afya zao kutokana na madhara ya kiwanda kile.
Wito: serikaki iache siasa na iwaondoe watu wa maeneo yale na kwenda kuwafidia maeneo mengine. Tunatamani kuchukua hatua mkononi baada ya serikali polisi kushindwa kuchukua hatua.