Mbunge wa Kawe tunaomba suala la eneo la Chasimba uliangalie tena

Chasimba ni eneo hatar na ni maficho ya vibaka wa maeneo ya Tegeta, Boko na Bunju, maeneo hayo yamekithiri wizi na polisi wa vituo vya wazo na basihaya ndio wanalea huu ujinga.
Binafsi nina kesi tatu zinanihusu eneo hilo, tuliibiwa noah na kibaka aliweza kuishi chasimba kwa zaidi ya miezi 6 bila kumkamata, pili tulipigwa dollar za kutosha na mwizi aliweza kutuhangaisha eneo hilo kwa msaada wa polisi pamoja na ushahidi wa wazi lakini aliweza kusaidiana na polisi na hela ikapotea, leo ni siku ya 2 tangu nimepigwa hela nzuri tu, na kibaya zaidi nimeenda polisi kuripoti baada ya muda polisi wanampigia mtuhumiwa simu kuwa umekuja kuchukuliwa RB ya kukamatwa. Eneo hili wamelipata kwa dhuluma kwa kisingizio cha raia masikini lakini ni hatar sana kwa usalama wa wapenda amani, pia ni hatar kwa afya zao kutokana na madhara ya kiwanda kile.
Wito: serikaki iache siasa na iwaondoe watu wa maeneo yale na kwenda kuwafidia maeneo mengine. Tunatamani kuchukua hatua mkononi baada ya serikali polisi kushindwa kuchukua hatua.
 
Mlaki,

Nyie si mlishalipwa haki yenu mkasepa??? Mi nadhani wa kulalamika ni Kiwanda na wala sio nyie ambao mlishalipwa mkaenda kununua maeneo mengine.Waliolipwa walilipwa mazao na vielelezo vipo siyo ardhi walihesabiwa idadi y miti na migomba kama sikosei mikatani au mikonge ndiyo iliyokuwa na bei ya juu sana ardhi waliambiwa ni mali ya Serikali leo wanaoishi hapo wamelipwa ardhi ah.. Ah... Mmiliki halali analipwa miti halafu mnasema kesi imeisha.

Ile mashine yenu ya kusaga bado ipo?
Mashine ipo na inaendelea na kazi kama kawaida naona umeangalia juu juu na kuhitimisha hoja wakiolipwa walilipwa mazao na wakaambiwa watajulishwa s
Chasimba ni eneo hatar na ni maficho ya vibaka wa maeneo ya Tegeta, Boko na Bunju, maeneo hayo yamekithiri wizi na polisi wa vituo vya wazo na basihaya ndio wanalea huu ujinga.
Binafsi nina kesi tatu zinanihusu eneo hilo, tuliibiwa noah na kibaka aliweza kuishi chasimba kwa zaidi ya miezi 6 bila kumkamata, pili tulipigwa dollar za kutosha na mwizi aliweza kutuhangaisha eneo hilo kwa msaada wa polisi pamoja na ushahidi wa wazi lakini aliweza kusaidiana na polisi na hela ikapotea, leo ni siku ya 2 tangu nimepigwa hela nzuri tu, na kibaya zaidi nimeenda polisi kuripoti baada ya muda polisi wanampigia mtuhumiwa simu kuwa umekuja kuchukuliwa RB ya kukamatwa. Eneo hili wamelipata kwa dhuluma kwa kisingizio cha raia masikini lakini ni hatar sana kwa usalama wa wapenda amani, pia ni hatar kwa afya zao kutokana na madhara ya kiwanda kile.
Wito: serikaki iache siasa na iwaondoe watu wa maeneo yale na kwenda kuwafidia maeneo mengine. Tunatamani kuchukua hatua mkononi baada ya serikali polisi kushindwa kuchukua hatua.
 
M
Hukumu hutolewa mahakamani? Ulishapeleka mashtaka mahakamani?
Kaka mahakamani wanalitambua hilo(Mahakama ya Mwanzo Kawe)lakini danadana zake ni hatari.
Rejea hapo juu kuna kipindi Polisi walikwenda kuwasambaratisha nilichokishuhudia ni Polisi kukimbia na wengine kuumia huku wavamizi wakijitamba tumewakimbiza Polisi.
 
Ipo haja ya kuangalia nyuma ya Chasimba kuna nini mwaka 2010 walilelewa kama mtaji wa wanasiasa huku wagombea wengi pamoja na kujua ukweli walijifanya kuwatetea ili kupata na kulinda wapiga kura akiwemo Mh Mbunge wa Kawe wa Sasa.
 
M
Kaka mahakamani wanalitambua hilo(Mahakama ya Mwanzo Kawe)lakini danadana zake ni hatari.
Rejea hapo juu kuna kipindi Polisi walikwenda kuwasambaratisha nilichokishuhudia ni Polisi kukimbia na wengine kuumia huku wavamizi wakijitamba tumewakimbiza Polisi.
Sasa kama ishu iko mahakamani... unataka mbunge aingilie uhuru wa mahakama? Si msubiri hukumu ya mahakama???

Afu mbona inasemekana Lukuvi alishamaliza huo mgogoro?? Au ulikuwa umesafiri??
 
Kwa Mdee mtegemee maumivu,yupo bize kuandaa mkutano wa kuwapokea wabunge waliofukuzwa bungeni na kuelezea kwa nini hawamtaki Tulia
 
Tatizo muda na danadana mahakama inalitambu hilo siku nyingi na kuna wakati tulisikia tetesi kuwa eneo limerudi kuwa malo ya Kiwanda mara baada ya muda watu wanauziana tena kiholela na kujenga na ujenzi wao mwanzoni walikuwa wakiufanya usiku kwa sababu shughuli za ujenzi zilizuiwa na matangazo yalibandikwa lakini cha ajabu nimefika huko juzi tu Ujenzi unaendelea kama kawaida ni mji kabisa na kilichoniuma zaidi ni kuwaona na wvamizi wakitamba mitaani najiuliza kumbe katika hii nchi unaweza ukafanya udhalimu kwa wenzako na kwa wawekezaji kisha ukaachwa tu.
 
Feel this situation" una shamba lako halafu ukaambiwa utalipwa mazao halafu eneo litachukuliwa kwa ajili ya kiwanda kisha ukalipwa fedha ya miti iliyokuwepo humo ukaambiwa usiwekeze vitu vya kudumu huko utajulishwa wakati wowote kukabidhi eneo hilo ukaendelea kwa kutii halafu wakaibuja watu na kuvamia eneo hilo kisha kuliuza na kujenga watu ambao hukuwa na mkubaliano yoyote ya kukabidhiana nao hilo shamba.
Unajisikiaje?
 
Back
Top Bottom