Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima acha Unafiki tafadhali. Hizi Sifa unazompa Rais Samia kuhusu Royal Tour yake ni za Kumsanifu na Kumdharau pia

Juzi alikuwa na Rais alipotembelea Kawe, hakusema chochote kuhusu chanjo zaidi ya kucheka cheka tu, hata kama Rais aliwauliza wananchi, Gwajima angetakiwa kusema msimamo wake pale, kukaa kimya ulikuwa ni uoga, uzandiki, na kutojiamini, ajabu leo anaendelea kuwalaghai wasiojielewa.
Ilibidi ampime Mama live sio😅
 
Sasa ndg yangu uko busy na maisha ya watu mpka unamjua 75% vipi ya kwako ushayamaliza? Kuwa busy na maisha yako angalau 40% Ili uvuke hapo ulipo upige hatua.
 
Viongozi wa dini unaacha kazi maalumu ulopewa toka kwake Mungu unahangaika na dunia na siasa chafu!!??!?!
Unatafuta nguvu za kiserikali unaacha nguvu za Mola? Ujinga mtupu
 
Ndiyo maana Mama alimuita "gwaju boy oyee"...

Gwaju boy imetokana na kale ka video kake...
 
Back
Top Bottom