Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,498
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Mbunge wa Ilala Mussa Azzan Zungu amechaguliwa kwa kishindo kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupiti CCM katika Uchaguzi uliomalizika hivi punde huko Dodoma.
Taarifa zinasema Zungu amepata Kura 348 akimshinda mpinzani wake Stephen Masele aliyepata kura 16.
Source: Maulid Kitenge