Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu ashinda kura za maoni kugombea Uspika kupitia CCM

Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu ashinda kura za maoni kugombea Uspika kupitia CCM


Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Mbunge wa Ilala Mussa Azzan Zungu amechaguliwa kwa kishindo kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupiti CCM katika Uchaguzi uliomalizika hivi punde huko Dodoma.

Taarifa zinasema Zungu amepata Kura 348 akimshinda mpinzani wake Stephen Masele aliyepata kura 16.

Source: Maulid Kitenge
Ilishajulikana mbona tangu juzi? Maskini Rango
 
Breaking news gani hii. Tuondoleeni haya maigizo. Upuuzi mtupu
 
Pole unampa nani K wewe?
1000048339.jpg
 
Back
Top Bottom