PreGE2025 Mbunge wa Covid 19 Salome Makamba aibukia mkutano wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba ameonekana leo katika Mkutano Mkuu wa CCM jijini Dodoma akiwa amevalia sare za chama hicho.

Makamba ni miongoni mwa wabunge 19 waliofungua kesi mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama wa CHADEMA.
20250529_172237.jpg
20250529_171702.jpg
 
Tatizo kubwa la Tanzania kila mtu ni mlalamikaji yaani kila mtu anaamini kuna mtu yupo mahali ambao hawamjui atakuja kuwasaidia

Sasa hapo kuna kosa gani ni uamuzi wake binafsi
Kuhama chama ina maana unapoteza ubunge sasa toka lini mbunge wa chadema akawa na kadi ya CCM na bado akabaki mbunge?

Sophia Simba alipofukuzwa ubunge siku hiyo hiyo ikatangazwa kiti kuwa wazi!!
 
Huyo alifukuzwa uanachama wa Chadema na kilichokuwa chama chake Chadema mwaka 2021.

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema hivi kuhusu sifa za mtu kuwa mbunge;
IMG-20250529-WA0002.jpg

Kwa maana hiyo huyu hastahili kuwa mbunge na kuendelea kulipwa mshahara na posho za Ubunge kama Mbunge wa Chadema.

Mbaya zaidi yupo kwenye mkutano wa CCM ndani ya mavazi ya CCM akitambulika kama mbunge wa Chadema anayelipwa fedha za wananchi masikini wa nchi hii kama mbunge wa Chadema.

Huu ni ulawiti wa Katiba sio ubakaji tu. Alafu JWTZ wanasema wameapa kuilinda Katiba. Wanailindaje sasa kwa haya yanayofanyika?
 
chadema na awamu ya 4 ni very complicated ishu, wametoka mbali ndiyo maana unaona ikifikia hapo wanaishiwa nguvu wanabakia kuhamisha goal post na kushambulia ambaye hata hahusiki ofcourse inafanya jitihada zote za “ukombozi” kuwa ngumu zaidi lkn ndiyo hivyo …
 
Kuhama chama ina maana unapoteza ubunge sasa toka lini mbunge wa chadema akawa na kadi ya CCM na bado akabaki mbunge?

Sophia Simba alipofukuzwa ubunge siku hiyo hiyo ikatangazwa kiti kuwa wazi!!
Katiba ipo wazi. Mifano ipo wazi alafu mambo haya bado yanatokea.

Inabidi hawa JWTZ watuambie wanakulaga kiapo kulinda Katiba ipi.

Tulipofika sasa ndo mana nchi nzima tunaonekana hatuna akili. Si kwa mambo ya aibu haya yanayofanyika.
 
Hata hii watu wanatekwa, JWTZ haioni haki ya kuishi inaporwa na wapo tu hawachukui hatua!
 
Huyo alifukuzwa uanachama wa Chadema na kilichokuwa chama chake Chadema mwaka 2021.

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema hivi kuhusu sifa za mtu kuwa mbunge;
View attachment 3349800

Kwa maana hiyo huyu hastahili kuwa mbunge na kuendelea kulipwa mshahara na posho za Ubunge kama Mbunge wa Chadema.

Mbaya zaidi yupo kwenye mkutano wa CCM ndani ya mavazi ya CCM akitambulika kama mbunge wa Chadema anayelipwa fedha za wananchi masikini wa nchi hii kama mbunge wa Chadema.

Huu ni ulawiti wa Katiba sio ubakaji tu. Alafu JWTZ wanasema wameapa kuilinda Katiba. Wanailindaje sasa kwa haya yanayofanyika?
Atajitetea kaalikwa na kavaa koti la rangi ya. Kijani tuu sio uniform ya ccm, nawaza tuu
 
Back
Top Bottom