Owenya mdaiwa sugu, inanikumbusha Mama Lwakatare na wizi wa umeme wa 10M. Wanatakiwa kuwa mfano mzuri kwa wananchi wanatuongoza.
Shirika la maendeleo ya Petroli Tanzania siku ya jumapili waliendesha zoezi la kutimua wadaiwa sugu waliokuwa wamegoma kulipia huduma za malazi .Waliotimuliwa ni pamoja na mbunge wa cdm anaetambulika kwa jina la Owenya.Poleni sana wanazi wa cdm kwa matatizo
iyo ni isembo tena tondo ling'anyi sana kofia nokelio kisewa nikyo kitewe ipyo mryonyi kulawore kindo!
Wewe ni mihogo mitupu kichwani you cant be a great thinker
Hivi ile mihogo michungu ambayo huwa inaozeshwa na kisha baadae wanaisaga kupata unga wa muhogo ule mweusi huwa unaitwa Makupa au Makopa??
Mm nampa pole Owenya kwa kumuuguza Baba Mzazi bila hivyo ungeshalipa deni la pango TPDCiyo ni isembo tena tondo ling'anyi sana kofia nokelio kisewa nikyo kitewe ipyo mryonyi kulawore kindo!
Deni la kwake wala sio la CDM
Kwetu tunaiita Udaga!! Nami naomba uhusiano kama Mr. Bigman hapa chini.Hivi ile mihogo michungu ambayo huwa inaozeshwa na kisha baadae wanaisaga kupata unga wa muhogo ule mweusi huwa unaitwa Makupa au Makopa??
Inaitwa Kondohole. Enhe lete uhusiano
Ndg unamaanisha nn??Hivi ile mihogo michungu ambayo huwa inaozeshwa na kisha baadae wanaisaga kupata unga wa muhogo ule mweusi huwa unaitwa Makupa au Makopa??