Toshack Kibala
Member
- Apr 1, 2012
- 67
- 8
Na mbona wengine comment zetu mnazitoa au zinawagusa mm niliandika mh.Esta Bulaya alitamka bungeni kuwa mh.Maige hana sifa ya kuwa waziri.
Lakini niseme mtu yoyote aliye CCM hawezi kusimama na kusema anawatetea watanzania wanyonge! Hakuna. Filikunjombe, Kessy na hata huyu binti Bulaya wanatakiwa waamue, ama wabaki CCM au waungane na watanzania upande wa pili. Kinachowafanya wabaki CCM (tafsiri yangu) ni kwamba wanavutiwa na utendaji wake, na wanafaidi na mfumo mzima wa chama cha mapinduzi. Na kama ni kinyume basi watoke!
Update 1.Wanabodi,
Katika pita pita yangu viunga fulani hapa mjini Dodoma, nimepita mahali nikukata baadhi ya watu na heshima zao, wakimsifu huyu mbunge kijana wa CCM, Mhe, Esta Bulaya, kuwa amefanya tukio la ushajaa mkubwa katika medani za siasa.
Kwa jinsi nilivyosikia kuhusu alichokifanya mbunge huyu, naomba nikiache kwanza kama tetesi, na nikisha thibitisha, nitarejea kuwapatia ushujaa huo wa Mhe. Esta Bulaya!.
Kwa kusaidia tuu, ni kuwa mbunge huyu, amefanya kitendo fulani cha kishujaa kwa kuweka mbele maslahi ya taifa ambapo amesimama kuhesabiwa miongini mwa wabunge wachache wa CCM wenye uchungu wa ukweli na umasikini wa nchi hii, kinyume cha wengi wa wabunge wa CCM ambao wameingia bungeni kwa drive ya njaa zao kutafuta maslahi binafsi badala ya maslahi ya taifa, hivyo wanachosimamia mule bungeni, ni matumbo yao tuu!.
Natafuta uthibitisho wa huo ushujaa wa Mhe. Esta Bulaya, ili tuliingize rasmi jina lake miongoni mwa mashujaa wa taifa hili!.
Tuvute subira kidogo!.
Wasalaam.
Pasco.
Dodoma!.
Kabla ya huo ushujaa, Mhe. Ester Bulaya aliripotiwa hivi humu jf
[h=2]"Re: Godfrey Zambi na Ester Bulaya bungeni waitabiria CCM yao kuanguka mwaka 2015"[/h]
PascoUpdate 1.
Nitamalizia hivi punde na kitendo chenyewe cha ushujaa wa mbunge huyu!.
Pasco!.
Nimeipenda subira yako, yaani wewe unaweza hata kuwa na subira kwenye Maisha bora kwa kila Mtanzania!!Mkuu fanya hima.., Ngoja Ngoja Huumiza Matumbo..,
Usije ukatoa news ikishakuwa yesterday's news...
fimal update soon!
Confirmed,
Mhe. Ester Bulaya ndie mbunge mwanamke kijana na shujaa wa CCM aliyesaini petition ya Mhe. Zitto kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu.
Wabunge kutoka CCM jumla ni 6 wakiongozwa na shujaa Mhe. Deo Filikunjombe. Jee kwa nini Ester ndio anayestahili pongezi mpaka kumuita shujaa!.
Kati ya wote waliosaini, wengine wote ni wabunge wa majimbo isipokuwa Ester yeye ni mbunge wa hisani wa CCM!. Kitendo cha kutoogopa hisani na kusimama kuhesabiwa ni kitendo cha ushujaa wa hali ya juu!.
Wenzake wote waliosaini ni watu wenye shughuli zao nyingine, ubunge kwao ni utumishi tuu kwa wananchi, hivyo kwao lolote liwalo, if anything happens to them in CCM, they have nothing to loose and everthing to gain from CCM, lakini kwa Ester kwake CCM ndio baba CCM ndio mama, if anything happens to Ester huko CCM, she has everthing to loose and nothing to gain from CCM!.
She has the guts to say no nonse!. Kuna wabunge wengi wa CCM akiwemo January ambao tuliwaona kama mashujaa, kitendo cha kutomuunga mkono Zitto ni uthibitisho tuu kuwa they are barking dogs only, seldom bite!. They don't have the guts to say no to nonsense!.
Nawaombeni wanabodi wenzangu, mhesabuni Mhe. Ester Bulaya miongoni mwa mashujaa 76 wa taifa kwenye orodha ya Zitto na jina lake liingizwe kwenye list ya mashujaa ambao mwaka 2015 wata team up na timu ya ushindi kuelekea kwenye ukombozi wa pili wa taifa letu!.
Kwa wale ambao mtatofautiana na mimi kwenye dhana ya ushujaa, naheshimu mitazamo yenu.
Hongera sana Mhe. Ester Bulaya, CCM watakunyanyapaa, CCM watakutenga, Watanzania watasimama na wewe, na Mungu atakutangulia kunyoosha mapito yako!.
Ubarikiwe Sana!.
Pasco.
Aksante mkuu. Hata hivyo usiwe unawarusha roho watu namna hii, wengine tulishaanza kufikiri labda ka-cross!Confirmed,