Si nimeusoma ka mara 4 hivi huu ujumbe! Nakuhakikishia sikumuelewa mleta mada. Alitaka awe nini haswa?? Mbunge wa EALA au?? Yaani sasa mtatuletea picha hata kutoka bafuni. Sijaona tatizo labda kama hao tembo walihama sehemu kwa sababu ya mbunge kuvaa kikaptura. Nasi tungemshtaki kwa kuharibu mazingira
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.