Ni upuuzi mtupu. Mbaya zaidi kuna wajinga wanashangilia upuuzi huu wa polisi wetu. Hawana weledi wala hawataki kuheshimu haki za msingi za watuhumiwa. Anyway, nadhani wanawafanyia hivi wapinzani ambao wameshindwa kuwanunua kwa hiyo wanatumia njia zilezile walizotumia Makaburu enzi za ubaguzi wa rangi.Na akikaa "sana" mahabusu wao wanaomuweka wanakua wanafaidika na nini?
Acha tu ndg. Hawajui kwamba hawa nao wana familia wameziacha. Wanapokaa selo wakati uwezekano wa dhamana upo, ni ukosefu wa weledi. Mtu kama mbunge wanahisi akiwa nje atatoroka? Kwa kesi ipi?Wanaona raha sana kuwalaza mahabusu wabunge wa upinzani na bado wanasisitiza umoja na amani nchini
Inaonekana una undugu wa damu na aliyeandika post #13Hivi Bulaya na Halima Mdee ni mtu na mke kweli? Kama ni kweli hili bunge letu litakuwa na kila aina ya uchafu, wabunge wasagaji, wabunge washikishwaji ukuta/ncha ya kitanda, wabunge watelekezaji familia, wabwia unga, vichaa.
Haya matusi ya mitandao, ufunguliwe mashatakaHivi Bulaya na Halima Mdee ni mtu na mke kweli? Kama ni kweli hili bunge letu litakuwa na kila aina ya uchafu, wabunge wasagaji, wabunge washikishwaji ukuta/ncha ya kitanda, wabunge watelekezaji familia, wabwia unga, vichaa.
Kwanini mnataka wenzenu wawe na nidhamu kama nyinyi midomo ni michafu??!! Huyo Mdee amewahi kukushughulikia?!Serikali inataka tu kumtesa mumewe (Halima Mdee) au kumpatia chance mumewe aopoe mwingine for the weekend. Kulala peke wakati umeoa ni shida.
Haya mambo ya kipuuzi lazima yatakuwa yanaratibiwa kikundi cha watu wapuuzi Serikalini bila kujua kwamba wanaipaka serikali matope!!!!!!!!! mh Abood amethubu kusema.
Hila.Duh! Wamemtegea leo Ijumaa ili wkend ailie mahabusu!
Inawezekana alishawahi mshughulikia coz aisifuye mvua imemnyeaKwanini mnataka wenzenu wawe na nidhamu kama nyinyi midomo ni michafu??!! Huyo Mdee amewahi kukushughulikia?!
Naskia aliomba kuunganishwa kwenye hiyo Kesi kwa ajili ya Mdee.View attachment 743431
MBUNGE wa Bunda Mjini, Ester Bulaya (CHADEMA) ameshikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam (Central) kwa madai amebakishwa kwa ajili ya upelelezi.
Bulaya aliripoti leo kituoni hapo baada ya kutakiwa kufanya hivyo, akiongozana na Viongozi wengine wa CHADEMA akiwemo Mwenyekiti, Freeman Mbowe ikiwa ni moja ya sharti la dhamana yao katika kesi inayowakabiri.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, Vincent Mashinji amesema kuwa baada ya kuripoti kituoni hapo viongozi wote waliruhusiwa kuondoka lakini Bulaya alitakiwa kubaki kwa sababu ya upelelezi.
“Mbunge Bulaya amebaki mahabusu kwa sababu za kiupelelezi lakini tumeambiwa ataunganishwa katika shauri letu lililokuwa mahakamani Kisutu,” amesema Mashinji.
Hata hivyo ameeleza kuwa upelelezi utakapokamilika Bulaya atafikishwa mahakamani na kuunganishwa katika shauri la viongozi wengine ambao walishafikishwa mahakamani.
Kuripoti kwa viongozi hao ni moja ya sharti la dhamana katika kesi yao namba 112/2018 katika mahakama ya Kisutu Dar es Salaam.
Ili wafanye yale mambo yao kwa uhuru zaidi? Sasa pale nani kidume na nani kijike?Naskia aliomba kuunganishwa kwenye hiyo Kesi kwa ajili ya Mdee.
Ww ndio utuambie coz inaonekana ndio shughuli zenu wote coz huwezi sema mwenzio mchawi kama hamwangi woteIli wafanye yale mambo yao kwa uhuru zaidi? Sasa pale nani kidume na nani kijike?
View attachment 743431