Mbunge wa Bunda (CHADEMA), Ester Bulaya ang'ang'aniwa Polisi

Endapo chadema hawataamua kwa dhati na haraka kwenda The Hague mahakama za kimataifa kufungua kesi, watambue kuwa kufika 2020 lazima Mtukufu malaika toka chato na Naibu Rais Maliyamungu Bashite watakuwa wameishaipoteza chadema kwenda ramani ya Siasa ya Tanganyika na Zanzibar, mkakati wa kurejesha mfumo wa chama kimoja kama China na Burundi upo madhubuti na njia pekee kwa sasa ni kuwabambikia kesi, kuwapiga Risasi, kuwafunga jela, kuwadhalilisha, kuwanunua Wapinzani wote kisha wachache wabishi watafungwa jela na chadema kusalia kuwa kama TLP, DP, NCCR kisha baadae msaji kuifuta kabsa isahaulike milele.
 
Naibu Rais ndugu Maliyamungu Bashite hataki kuwasikia chadema hata wafurukute vipi pasipo kujihami kupitia mahakama za kimataifa watambue kuwa mwaka 2020 hawatapata wabunge tena.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hiii sheria ya kutumia weekend kuwakomoa watu yafaa ifutwe kwani inatumika vibaya sana sasa.
 
Hawafanyi kazi kiweledi, kisayansi wanafanya kwa kwa mujibu wa fikra za Naibu Rais Maliyamungu Bashite ni Aibu sana.
Kwa nini Bashite anatajwa kwa kila kibaya? Hivi kansa ikiingia mguuni unaufanyaje? Unaukata ili kunusuru mwili mzima!
Wakati wa kukata "mguu" umefika.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom