jsenyinah
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 249
- 338
Huyu bwana n Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo mkoani Pwani.Aliwahi pia Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwenye serikali ya awamu iliyopita, na ndiye aliyemtimua Dk Joyce Nderichako kwenye nafasi ya Mtendaji wa NECTA.
Toka JMP aingie madarakani, sijamwona Bungeni wala kwenye vikao /mikutano ya kujenga chama,Chama cha Mapinduzi.Nikiwa Bagamoyo,bwana huyu hapatikani kabisa.
Mwenye taarifa zake tafadhari..
Toka JMP aingie madarakani, sijamwona Bungeni wala kwenye vikao /mikutano ya kujenga chama,Chama cha Mapinduzi.Nikiwa Bagamoyo,bwana huyu hapatikani kabisa.
Mwenye taarifa zake tafadhari..