Mbunge wa Bagamoyo, Shukuru Kawambwa haonekani jimboni wala kwenye ujenzi wa chama

jsenyinah

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
249
338
Huyu bwana n Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo mkoani Pwani.Aliwahi pia Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwenye serikali ya awamu iliyopita, na ndiye aliyemtimua Dk Joyce Nderichako kwenye nafasi ya Mtendaji wa NECTA.

Toka JMP aingie madarakani, sijamwona Bungeni wala kwenye vikao /mikutano ya kujenga chama,Chama cha Mapinduzi.Nikiwa Bagamoyo,bwana huyu hapatikani kabisa.

Mwenye taarifa zake tafadhari..
 
Waache wastaafu wapumzike! Huyo bwana nae ni ama amestaafu tu,maana hakubaliki kwao kabisa wanaona kama mzuka tu amebebwa sana na JK kama sio hivyo ubunge asingeupata! Anapoteza muda tu. Hana jipya na hakubaliki
Huyu bwana n Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo mkoani Pwani.Aliwahi pia Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwenye serikali ya awamu iliyopita, na ndiye aliyemtimua Dk Joyce Nderichako kwenye nafasi ya Mtendaji wa NECTA.

Toka JMP aingie madarakani, sijamwona Bungeni wala kwenye vikao /mikutano ya kujenga chama,Chama cha Mapinduzi.Nikiwa Bagamoyo,bwana huyu hapatikani kabisa.

Mwenye taarifa zake tafadhari..
 
Huyu bwana akiwa waziri wa elimu alikataa kabisa kuwajibika pale majibu ya form four nchi nzima yalitoka mabaya sana, badala ya kurudia mitihani wanafunzi waliongezewa grade, aliyepata division II automatically aliikwaa I.
 
ahaha ahaha..

huyu jamaa alikuwa mwadhiri pale chuo kikuu cha dsm, ila ni mpole sana na mnyenyekevu sana...

nishawahi kwenda kwake na shangzi yangu, baada yakuhutudumia soda, nilinyanyuka kwenda kurudisha chupa tupu kwenye kreti, badala yake alinikatalia na kurudisha mwenyewe..

actually Kawambwa sio mwanasiasa, ila wanasiasa walimsaawish aingie kwenye siasa, hasa JK
 
So hili ni tangazo la pili la kupotea kwa mbunge... Sipendi kuwaita waheshimiwa maana hawafanani kitabia zao
 
ahaha ahaha..

huyu jamaa alikuwa mwadhiri pale chuo kikuu cha dsm, ila ni mpole sana na mnyenyekevu sana...

nishawahi kwenda kwake na shangzi yangu, baada yakuhutudumia soda, nilinyanyuka kwenda kurudisha chupa tupu kwenye kreti, badala yake alinikatalia na kurudisha mwenyewe..

actually Kawambwa sio mwanasiasa, ila wanasiasa walimsaawish aingie kwenye siasa, hasa JK

Hebu nyoosha maelezo,ulimuuliza shangazi yako kama jamaa aliendeleza upole wake au kwa Shangazi alikuwa mkali kidogo?Ufafanuzi please!
 
Back
Top Bottom