Mbunge wa Arusha Mjini (Godbless Lema) njiani kuelekea Igunga

Jamani yale maandamano ya Marekani dhidi ya JK yaliishia wapi? Nimeangalia chanel na mitandao yote sijaona watu wala mabango. Au ndo kama kawaida ya cdm kuhamasishana kwenye mitandao na kuwaponza wanaojitokeza ili hali waliotoa hamasa wako kwenye keyboard na luninga?
 
Ni kweli imechakachuliwa, lakini lazima ukweli usemwe, Kesi imefutwa!
 
Jamani yale maandamano ya Marekani dhidi ya JK yaliishia wapi? Nimeangalia chanel na mitandao yote sijaona watu wala mabango. Au ndo kama kawaida ya cdm kuhamasishana kwenye mitandao na kuwaponza wanaojitokeza ili hali waliotoa hamasa wako kwenye keyboard na luninga?
Ilikuwa hakuna bia za bure watu wakagoma kuandamana
 
Leo baada ya hukumu ya kesi ya madiawani mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema atakuwa njiani kuelekea Igunga kwenda kuongeza nguvu kwa wapiganaji wengine wa Cdm ".

Wakati anaongea na radio 5 Arusha amenukuliwa akisema " Ninakwenda Igunga huku nikitambua kuwa uhuni na uonevu,wizi,ulaghai kwa wapiga kura unaofanywa na Chama tawala (CCM) sasa hautavumilika tena kwa sababu tu wanao polisi wenye utii kwao na sasa ni wakati wa watu wote wenye uwezo wa kukemea uovu huu wa kimfumo wawe tiyari hata kwa lolote " kwani ni heri mauti inayopatikana katika kupigania haki kuliko umri mrefu usio na wajibu katika jamii

"Ninakwenda Igunga, ninapenda haki, ninapenda utu, ninaheshimu ukweli nitakuwa tiyari kuvitetea vitu hivi kwa damu yangu ikiwezekana
"


Nimependa kauli hiyo ya kishujaa, hizi ndizo kauli za wapigania haki na ukombozi walopata kusifika na kuheshimika kote duniani. Ngoja tuangalie uwezekano wa kukupeleka huko Israel ukachukue kozi ya ukomandoo ili utakapokuwa umefuzu na kurudi uweumekamilkai na kujiamini both kimaneno na kimatendo.
 
ccm kazi mnayo !!!! nasikia kuna mbunge kasmea atakunywa sumu..naomba nimuagizie lithium aanze kufa taratibu
 
Sio kama imechakachuliwa, wamechakachua tayari zile nondo zote wamezifuta! CDM hooyeee!!! Magwanda Hoyeee??



wewe na avata yako hamna tofauti...umepauka nje hadi kwenye ubongo
 
Mungu akutangulie katika safari yako pa1 na makamanda wote mtakaoandamana nao katika Harakati za ukombozi wa kweli wa Taifa letu.
 
Ile kesi iliyokua inawakabili wale madiwani watano Arusha hatimaye hukumu imeshatekelezwa na wameshindwa na sasa uchaguzi wa madiwani Arusha utarudiwa tena! Souce Mahakama kuu Arusha.
 
Ni kweli Lema anaelekea Igunga, yupo na vijana 300 wengine wamepanda Fuso za CDM wanakwenda kuongeza nguvu. sijui nani analipa gharama za chakula na Malazi kwa hawa vijana zaidi ya 300 hadi kufikia jana hali ni mbaya sana kwa CDM.
Zile issue za Tindikali pamoja na ya kutaka kumbaka DC walizofanya wahuni wa CDM zimefanya wapenda amani Igunga kuwachukia sana CDM.
Kwa kweli hii dhambi ya ubakakaji na ya Tindikali itaendelea kuwatafuna kama Kansa

Nikikujibu lazima nile Ban jumla
 
Kila la heri Lema, tunafarijika sana kuona mpo mnaojitolea kwa ajili yetu sisi tunaojificha nyuma ya Computer and wengine tulifanywa watumwa wa CCM kwa njaa zetu za akili na upofu wa Kifikra huku tukiwasifia ili mradi tupate wali wa kula leo.
 
Hivi ile issue ya kusarandia mke wa kada wa CCM na kampeini manager wa maghamba's imeishia wapi??????? Huyo Bwn kazimwa na michuzi ya watu kama rits, maana maghamba kwa rushwa hamjambo!!!!!!!! Taadhari wana Igunga wakubwa wa CCM ni hodari kwa kusarandia wake za watu, chunga wake zenu!!!!!!!!!!
Hivi kampeni meneja si ndiyo Mwigule Nchemba au.... Kumbe naye fuska
 
Ile kesi iliyokua inawakabili wale madiwani watano Arusha hatimaye hukumu imeshatekelezwa na wameshindwa na sasa uchaguzi wa madiwani Arusha utarudiwa tena! Souce Mahakama kuu Arusha.
Kwahiyo sasa unakubali kuwa mahaka inatenda haki sio? Nyie ngojeeni tu, siku akipelekwa Mbowe mtasema hii mahakama ni ya CCM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom