Mbunge wa Arusha Mjini (Godbless Lema) njiani kuelekea Igunga

Wapi zitto igunga? Au yeye ni mgeni rasmi wa kwenda kufunga mkutano kwa kuwa yeye ni mkubwa kuliko Mbowe na Slaa? Kwa sasa yuko Busy?
 
Kweli mkuu sijiamini naogopa machafuko mimi pamoja na wapenda amani wa taifa letu.<br /> Wewe na wahuni wenzako wa CDM mmezoe kupigana mapanga, kubaka na kumwagia watu tindikali, tunawaomba sana msifanye uhalifu nchi yetu ni ya amani
<br /> <br / amani itaendelea kuwepo mkuu ila kauli zako hazina mantiki.....hadi kieleweke
 
Kama huwezi kutoa positive comment kumwuunga mkono kamanda ukitukanwa usianze kumwita PAW kwa sababu nimeona kuna watu wameingia humu na hamu ya kutukanwa kama , omr na ritz. Halafu majina yote haya yamekaa kishetwani
 
Wapi zitto igunga? Au yeye ni mgeni rasmi wa kwenda kufunga mkutano kwa kuwa yeye ni mkubwa kuliko Mbowe na Slaa? Kwa sasa yuko Busy?
watakwenda wote tu kijana usiwe na haraka. tena safari hii watachukua na wake zao.
 
Kama huwezi kutoa positive comment kumwuunga mkono kamanda ukitukanwa usianze kumwita PAW kwa sababu nimeona kuna watu wameingia humu kwa sababu wana hamu ya kutukanwa kama , omr na ritz. Halafu majina yote haya yamekaa kishetwani
Hatuwezi kumuunga mkono jambazi, we tukana tu, tumesha wazoea wahuni wa CDM.
 
Duhh nimesahau,sio wake zao, watachukua na hawara zao. Hakuna mwenye mke hapo.
 
Duhh nimesahau,sio wake zao, watachukua na hawara zao. Hakuna mwenye mke hapo.
CDM nzima wenye wake ni wawili tu, Lema na Mbowe, cha kushangaza Lema, ana Mke wa ndoa a loser Dr Slaa hajawahi kuoa!
 
Duhh nimesahau,sio wake zao, watachukua na hawara zao. Hakuna mwenye mke hapo.
ukiwa na mkeo kada wa ccm andika maumivu - lazima makada wenzake wamtafune -- badala ya kutangaza sera wao wanatangaza uzinzi kwa makada wenzao tena kutumia hela za chama. duh... Hata hili nalo ni gamba.
 
CDM nzima wenye wake ni wawili tu, Lema na Mbowe, cha kushangaza Lema, ana Mke wa ndoa a loser Dr Slaa hajawahi kuoa!
wewe mkeo ni kada wa chama? je amekwenda igunga? if YES - akirudi ni matenity....
 
ukiwa na mkeo kada wa ccm andika maumivu - lazima makada wenzake wamtafune -- badala ya kutangaza sera wao wanatangaza uzinzi kwa makada wenzao tena kutumia hela za chama. duh... Hata hili nalo ni gamba.
Kumbe hayo ndio mapigo yenu CDM, basi ni haki yenu msioe, kaeni na hivyo vimada vyenu tu. Sasa mbowe na lema wanachangia?
 
Kwetu Wakrito hata bwana YESU alimwaga damu yake ili sisi wenye dhambi na wapotovu tuweze kuokoka, Martin Luther alimwaga ili aafrika weusi waokolewe, Marehemu Samora Machel, alimwaga damu akiwapigania watu wake wa msumbiji, hata CUF Zanzibar kule Pemba walimwaga damu kwa ajili ya haki yao, saa hayo maneno ya Mhe. Lema yasibezwe, kwa hali ilivyo Tanzania sasa, kuna watu wapo tayari kwa hayo yote ili kwamba tu kuondokana na uonevu au utawala wa Kifalme. My take: Vyombo vya usalama, mpo ktk mtihani mgumu wa kiutendaji, ni vyema mkajifunza kwa vyombo vya usalama vya Misri.
 
Kumbe hayo ndio mapigo yenu CDM, basi ni haki yenu msioe, kaeni na hivyo vimada vyenu tu. Sasa mbowe na lema wanachangia?

Yule kiongozi wa kampeni igunga kamla mke wa kanda mwenzake --- duh, mimi nilijua nyie ni mabigwa wa ufisadi tu Tanzania kumbe hada down mmekubuhu -- ha ha ha.
 
Kila la heri Lema. Wewe huwa unafanya unachoamini na unasema unachoamini. Magamba wanakugwaya sana.
 
Leo baada ya hukumu ya kesi ya madiawani mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema atakuwa njiani kuelekea Igunga kwenda kuongeza nguvu kwa wapiganaji wengine wa Cdm ".

Wakati anaongea na radio 5 Arusha amenukuliwa akisema " Ninakwenda Igunga huku nikitambua kuwa uhuni na uonevu,wizi,ulaghai kwa wapiga kura unaofanywa na Chama tawala (CCM) sasa hautavumilika tena kwa sababu tu wanao polisi wenye utii kwao na sasa ni wakati wa watu wote wenye uwezo wa kukemea uovu huu wa kimfumo wawe tiyari hata kwa lolote " kwani ni heri mauti inayopatikana katika kupigania haki kuliko umri mrefu usio na wajibu katika jamii

"Ninakwenda Igunga, ninapenda haki, ninapenda utu, ninaheshimu ukweli nitakuwa tiyari kuvitetea vitu hivi kwa damu yangu ikiwezekana "

Hivi kumbe huyu failure anategemewa cdm...ok

aisee chama hakina watu (ombwe)

elimu yake na kazi zake hazieleweki..
 
kweli mkuu sijiamini naogopa machafuko mimi pamoja na wapenda amani wa taifa letu.
Wewe na wahuni wenzako wa cdm mmezoe kupigana mapanga, kubaka na kumwagia watu tindikali, tunawaomba sana msifanye uhalifu nchi yetu ni ya amani

heshima kitu cha bure..... Nadhani milaana mingine inageuka na huenda ukawatoka watu vipofu wa mawazo na ikawa donda sugu kwa hatma ya taifa letu jeema kabisa....la tanzania.....lema you are great
 
Kwetu Wakrito hata bwana YESU alimwaga damu yake ili sisi wenye dhambi na wapotovu tuweze kuokoka, Martin Luther alimwaga ili aafrika weusi waokolewe, Marehemu Samora Machel, alimwaga damu akiwapigania watu wake wa msumbiji, hata CUF Zanzibar kule Pemba walimwaga damu kwa ajili ya haki yao, saa hayo maneno ya Mhe. Lema yasibezwe, kwa hali ilivyo Tanzania sasa, kuna watu wapo tayari kwa hayo yote ili kwamba tu kuondokana na uonevu au utawala wa Kifalme. My take: Vyombo vya usalama, mpo ktk mtihani mgumu wa kiutendaji, ni vyema mkajifunza kwa vyombo vya usalama vya Misri.
Leta ushahidi kuwa Yesu alimwaga Damu. Halafu vipi unafananisha YESU na huyo jambazi? Wewe mwache akalete fujo, safari hii sio Polisi, ni vijana wa CCM ndio watafanya kazi. Tena watapiga mpaka mtakibilia arusha na chupi mkononi.
 
Yule kiongozi wa kampeni igunga kamla mke wa kanda mwenzake --- duh, mimi nilijua nyie ni mabigwa wa ufisadi tu Tanzania kumbe hada down mmekubuhu -- ha ha ha.
We ulikuwa unafanya nini humo chumbani, au wewe ndio mke wa huyo kada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom