Mbunge wa Arusha Mjini (Godbless Lema) njiani kuelekea Igunga

kamanda songa mbele maana ukombozi uko karibu ni kama kumsukuma mlevi kwa hiyo tuendelee kupigania kwa njia yoyote ile mpaka haki ipatikane

Leo baada ya hukumu ya kesi ya madiawani mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema atakuwa njiani kuelekea Igunga kwenda kuongeza nguvu kwa wapiganaji wengine wa Cdm ".

Wakati anaongea na radio 5 Arusha amenukuliwa akisema " Ninakwenda Igunga huku nikitambua kuwa uhuni na uonevu,wizi,ulaghai kwa wapiga kura unaofanywa na Chama tawala (CCM) sasa hautavumilika tena kwa sababu tu wanao polisi wenye utii kwao na sasa ni wakati wa watu wote wenye uwezo wa kukemea uovu huu wa kimfumo wawe tiyari hata kwa lolote " kwani ni heri mauti inayopatikana katika kupigania haki kuliko umri mrefu usio na wajibu katika jamii

"Ninakwenda Igunga, ninapenda haki, ninapenda utu, ninaheshimu ukweli nitakuwa tiyari kuvitetea vitu hivi kwa damu yangu ikiwezekana "

saluti kwako mkuu, kawashughulikie wale wanaonunua shahada igunga magamba wale.!

Leta ushahidi kuwa Yesu alimwaga Damu. Halafu vipi unafananisha YESU na huyo jambazi? Wewe mwache akalete fujo, safari hii sio Polisi, ni vijana wa CCM ndio watafanya kazi. Tena watapiga mpaka mtakibilia arusha na chupi mkononi.

Yaani!ukitembea tu hatua kijambo,ya pili ushuzi,hatimaye utajinyea!njia nzima inanuka ushuzi na harufu mbaya kwa ajili yako

Jamanieee mimi niko nje ya nchi, naomba mtanipa matokeo ya awali. Ila mwambieni mheshimiwa awe makini, si mnawajua hawachelewi kumuulia njiani! KILA LA KHERI CDM. C dhani kama Igunga bado wanaukubali ujinga wa 50 yrs!

Hivi wewe ritz hizo habari za fuso, vijana mia tatu (300) sijui wanakwenda Igunga umezipatawapi????????
Mkuu, acha kubishana na wehu.....kama wasiwasi wao ni watu 300 basi wana taarifa za uongo safari hii hatuwaachi tuna mpango wa kupeleka vijana zaidi 6500 yaani itakuwa hivi; 2000 kutoka Arusha, 2000 Mbeya, 2000 Mwanza, na 500 kutoka Mara

Jamanieee mimi niko nje ya nchi, naomba mtanipa matokeo ya awali. Ila mwambieni mheshimiwa awe makini, si mnawajua hawachelewi kumuulia njiani! KILA LA KHERI CDM. C dhani kama Igunga bado wanaukubali ujinga wa 50 yrs!
kuna mbwa wa UwT wana muwinda kweli....

Ni kweli Lema anaelekea Igunga, yupo na vijana 300 wengine wamepanda Fuso za CDM wanakwenda kuongeza nguvu. sijui nani analipa gharama za chakula na Malazi kwa hawa vijana zaidi ya 300 hadi kufikia jana hali ni mbaya sana kwa CDM.
Zile issue za Tindikali pamoja na ya kutaka kumbaka DC walizofanya wahuni wa CDM zimefanya wapenda amani Igunga kuwachukia sana CDM.
Kwa kweli hii dhambi ya ubakakaji na ya Tindikali itaendelea kuwatafuna kama Kansa

Maandishi yako yanathibitisha jambo moja kubwa: kwamba kujua kutype na ufahamu ni vitu viwili tofauti.

Tanzania ya leo tunahitaji vijana wa aina ya Lema, wenye msimamo usiyoyumba. Wewe naona unajifanya kutembea kwenda mbele ilhali kichwa umekigeuza nyuma. Pole sana maana utajikwaa!

Ameshachelewa Lema alitakiwa awepo siku DC wa Igunga alipokamatwa na Makamanda wa CDM. hapo ingekuwa ngoma inogile.

"Ninakwenda Igunga, ninapenda haki, ninapenda utu, ninaheshimu ukweli nitakuwa tiyari kuvitetea vitu hivi kwa damu yangu ikiwezekana "[/QUOTE]

HUYU NI MUONGO MKUBWA HANA LOLOTE,KAMA YUPO TAYALI KUMWAGA DAMU YAKE MBONA MALA ZOTE AKIANZISHA ZARI YEYE ANAPONA WANAKUFA WANANCHI? AACHE KUHADAA WATU KWA KUTAFUTA SIFA UJIFANYA MWANA MAPINDUZI WAKTI ANAGANGA NJAA!

"Ninakwenda Igunga, ninapenda haki, ninapenda utu, ninaheshimu ukweli nitakuwa tiyari kuvitetea vitu hivi kwa damu yangu ikiwezekana "

HUYU NI MUONGO MKUBWA HANA LOLOTE,KAMA YUPO TAYALI KUMWAGA DAMU YAKE MBONA MALA ZOTE AKIANZISHA ZARI YEYE ANAPONA WANAKUFA WANANCHI? AACHE KUHADAA WATU KWA KUTAFUTA SIFA UJIFANYA MWANA MAPINDUZI WAKTI ANAGANGA NJAA![/QUOTE]

Kama wewe hujala njoo ule huku Igunga. Inaonekana una njaa ila ila husemi.

Ni kweli Lema anaelekea Igunga, yupo na vijana 300 wengine wamepanda Fuso za CDM wanakwenda kuongeza nguvu. sijui nani analipa gharama za chakula na Malazi kwa hawa vijana zaidi ya 300 hadi kufikia jana hali ni mbaya sana kwa CDM.
Zile issue za Tindikali pamoja na ya kutaka kumbaka DC walizofanya wahuni wa CDM zimefanya wapenda amani Igunga kuwachukia sana CDM.
Kwa kweli hii dhambi ya ubakakaji na ya Tindikali itaendelea kuwatafuna kama Kansa

Kumbaka yule kikongwe labda uwe umeagizwa na mganga...

Similar Discussions

Back
Top Bottom