Godbless Lema amkaribisha Chongolo Arusha, amuonya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,750
218,339
Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini na mkimbizi mstaafu wa kisiasa , Nabii wa Mungu Godbless Lema, amemkaribisha Arusha Katibu Mkuu wa CCM Chongolo, huku akimtahadharisha kwamba kila atakapotia mguu na porojo zake, akinyanyuka tu CHADEMA itafika na kufuta vumbi.

Ujumbe wake huu hapa.

Screenshot_2023-07-18-16-14-01-1.jpg
 
Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini na mkimbizi mstaafu wa kisiasa , Nabii wa Mungu Godbless Lema, amemkaribisha Arusha Katibu Mkuu wa CCM Chongolo, huku akimtahadharisha kwamba kila atakapotia mguu na porojo zake, akinyanyuka tu CHADEMA itafika na kufuta vumbi.

Ujumbe wake huu hapa.

View attachment 2692115
Hapo Chongolo anatamani Chadema ndio wangeanza mkutano alafu yeye afuatie. Good timing Chad's
 
Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini na mkimbizi mstaafu wa kisiasa , Nabii wa Mungu Godbless Lema, amemkaribisha Arusha Katibu Mkuu wa CCM Chongolo, huku akimtahadharisha kwamba kila atakapotia mguu na porojo zake, akinyanyuka tu CHADEMA itafika na kufuta vumbi.

Ujumbe wake huu hapa.

View attachment 2692115
Lema mhuni wa gereji atamuonya wapi mtu principled kama cde Dani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom