Mbunge wa Arusha G.Lema na Mke wake wafikishwa mahakamani leo

KUMBE IMETOLEWA NA NYUMBU NDIO MAANA INACHUMVI HIVYO? ILA MWAKA HUU ATAISOMA NAMBA, NA MABANGI YAKE NGOJA AKALIE KIDOLE SASA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kanda ya Arusha leo imewasomea Mashtaka(Kesi ya Jinai namba 351) washtakiwa wawili ambao ni Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe.Godbless Jonathan Lema na Mke wake Neema Lema shauri hilo limekuja kwaajili yakusomwa.
Watuhumiwa hao wawili wanashtakiwa kwa kusambaza ujumbe usiofaa kwa Mkuu wa Mkoa Mrisho Gambo kwenye simu yake ya mkoni,Mkuu wa Mkoa huyo alitumiwa meseji fupi(SMS) Inayosema "KARIBU TUTAKUZIBITI KAMA ARABUNI WANAVYODHIBITI MASHOGA" Washtakiwa wote wawili wamekana shtaka hilo,wakili wa Serikali Alice Mtenga alieleza kuwa "Ujumbe huo mfupi ulikua na nia ya kumuudhi na kumuumiza kiakili Mkuu huyo wa Mkoa wa Arusha"

Vilevile Upande wa Serikali wana Mashahidi watano ambao ni:
1.Mrisho Gambo
2.Joji Katabazi
3.Asp Damasi Masawe
4.Vodacom
5.Forencic Bureau na vielelezo vyao ni Print out ya vodacom simu ya mshtakiwa no 2,report ya uchunguzi kutoka Forensic Bureau.

Sambamba na hayo Jopo la Mawakili wa Mhe.Mbunge na Mkewe linalowakilishwa na wakili Msomi John Mallya(Difensive Counsel) wametoa Notisi ya Mdomo (Oral Submission) kuhusu mashtaka waliyosomewa washtakiwa hao na kuiomba Mahakama itupilie mbali kesi hiyo.
Hivyo basi Hakimu wa Mahakama hiyo Mhe.Nestory Baro Ameairisha Kesi hiyo hadi tarehe 03.02.2017 siku ya Ijumaa.

Mbunge huyo wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe.Godbless Lema alisomewa Kesi nyingine yakuhamasisha Maandamano Kesi namba 352,wakili Msomi Mallya alisema "Kwamujibu wa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 46 ya katiba inasema Vyama vya siasa vinaruhusiwa kuandamana na kufanya Mikutano ya hadhara" baada ya wakili huyo kuwasilisha hoja zake kwa kirefu sana wakili wa Serikali Alice Mtenga Alizijibu hoja hizo na kuomba Mahakama impe muda wa ziada wakufanya submission ili aweze kujibu vizuri lakini Hakimu wa Mahakama hiyo Mhe.Bernad Nganga alisema "Sitoi muda wa ziada kwasababu ulishasimama na kujibu hoja"
Upande wa serikali walikuja na shaihidi mmoja anayefahamika kwajina la Joji Katabazi hata hivyo jopo la Mawakili wa Utetezi (Difensive Counsel)walisema shahidi huyo waliye kuja nae hawezi kuji hoja hizo wanaoweza ni Majaji watatu wa Mahakama ya Kikatiba,sambamba na hayo Mahakama imeelekeza Watakapo muhitaji shahidi huyo watamuita kwa sasa hawezi kuji hoja hizo.
Hivyo basi Kesi hiyo imearishwa hadi tarehe 08.02.2017 siku ya Jumatano.

Imetolewa
Tarehe 18.01.2017 na:
Mozec Joseph
Afisa-Habari Kanda ya Kaskazini.
e7bd12be9ee46f183d0d4dcdbcd639aa.jpg
 
ACHA WATOE ILI AKITIWA, ATIWE KIHALALI
Vodacom huwa ni wagumu sana kutoa ushirikiano iwapo mteja wake ametumia laini visivyo, lakini kwenye hili la LEMA naona wamekuwa vimbelembele mpaka wamejitokeza kutoa ushahidi mahakamani.
 
Mwambie fisadi mamvi aongee vizuri na rafikie mmiliki wa voda fisadi rosti tamu aziiv!
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kanda ya Arusha leo imewasomea Mashtaka(Kesi ya Jinai namba 351) washtakiwa wawili ambao ni Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe.Godbless Jonathan Lema na Mke wake Neema Lema shauri hilo limekuja kwaajili yakusomwa.
Watuhumiwa hao wawili wanashtakiwa kwa kusambaza ujumbe usiofaa kwa Mkuu wa Mkoa Mrisho Gambo kwenye simu yake ya mkoni,Mkuu wa Mkoa huyo alitumiwa meseji fupi(SMS) Inayosema "KARIBU TUTAKUZIBITI KAMA ARABUNI WANAVYODHIBITI MASHOGA" Washtakiwa wote wawili wamekana shtaka hilo,wakili wa Serikali Alice Mtenga alieleza kuwa "Ujumbe huo mfupi ulikua na nia ya kumuudhi na kumuumiza kiakili Mkuu huyo wa Mkoa wa Arusha"

Vilevile Upande wa Serikali wana Mashahidi watano ambao ni:
1.Mrisho Gambo
2.Joji Katabazi
3.Asp Damasi Masawe
4.Vodacom
5.Forencic Bureau na vielelezo vyao ni Print out ya vodacom simu ya mshtakiwa no 2,report ya uchunguzi kutoka Forensic Bureau.

Sambamba na hayo Jopo la Mawakili wa Mhe.Mbunge na Mkewe linalowakilishwa na wakili Msomi John Mallya(Difensive Counsel) wametoa Notisi ya Mdomo (Oral Submission) kuhusu mashtaka waliyosomewa washtakiwa hao na kuiomba Mahakama itupilie mbali kesi hiyo.
Hivyo basi Hakimu wa Mahakama hiyo Mhe.Nestory Baro Ameairisha Kesi hiyo hadi tarehe 03.02.2017 siku ya Ijumaa.

Mbunge huyo wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe.Godbless Lema alisomewa Kesi nyingine yakuhamasisha Maandamano Kesi namba 352,wakili Msomi Mallya alisema "Kwamujibu wa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 46 ya katiba inasema Vyama vya siasa vinaruhusiwa kuandamana na kufanya Mikutano ya hadhara" baada ya wakili huyo kuwasilisha hoja zake kwa kirefu sana wakili wa Serikali Alice Mtenga Alizijibu hoja hizo na kuomba Mahakama impe muda wa ziada wakufanya submission ili aweze kujibu vizuri lakini Hakimu wa Mahakama hiyo Mhe.Bernad Nganga alisema "Sitoi muda wa ziada kwasababu ulishasimama na kujibu hoja"
Upande wa serikali walikuja na shaihidi mmoja anayefahamika kwajina la Joji Katabazi hata hivyo jopo la Mawakili wa Utetezi (Difensive Counsel)walisema shahidi huyo waliye kuja nae hawezi kuji hoja hizo wanaoweza ni Majaji watatu wa Mahakama ya Kikatiba,sambamba na hayo Mahakama imeelekeza Watakapo muhitaji shahidi huyo watamuita kwa sasa hawezi kuji hoja hizo.
Hivyo basi Kesi hiyo imearishwa hadi tarehe 08.02.2017 siku ya Jumatano.

Imetolewa
Tarehe 18.01.2017 na:
Mozec Joseph
Afisa-Habari Kanda ya Kaskazini.
e7bd12be9ee46f183d0d4dcdbcd639aa.jpg

Mungu atakulipa Lema... Usife moyo

Na bado mpaka akili imkae sawa.

Hii familia inafurahisha.
 
SUBIRI USHUGHULIKIWE ILI UJUE KUWA NCHI HII NI YA WATZ WOTE NA WALA SIO YA BABAAKO WALA MAMAAKO, NGOJA MALYA ALE MSHAHARA WAKO KWA UFALO WAKO WA KUAMINI KUWA BADO KIKWETE ALIYEKUPUUZIA NA MATUSI YAKO NDIO RAISI WA TZ...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kanda ya Arusha leo imewasomea Mashtaka(Kesi ya Jinai namba 351) washtakiwa wawili ambao ni Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe.Godbless Jonathan Lema na Mke wake Neema Lema shauri hilo limekuja kwaajili yakusomwa.
Watuhumiwa hao wawili wanashtakiwa kwa kusambaza ujumbe usiofaa kwa Mkuu wa Mkoa Mrisho Gambo kwenye simu yake ya mkoni,Mkuu wa Mkoa huyo alitumiwa meseji fupi(SMS) Inayosema "KARIBU TUTAKUZIBITI KAMA ARABUNI WANAVYODHIBITI MASHOGA" Washtakiwa wote wawili wamekana shtaka hilo,wakili wa Serikali Alice Mtenga alieleza kuwa "Ujumbe huo mfupi ulikua na nia ya kumuudhi na kumuumiza kiakili Mkuu huyo wa Mkoa wa Arusha"

Vilevile Upande wa Serikali wana Mashahidi watano ambao ni:
1.Mrisho Gambo
2.Joji Katabazi
3.Asp Damasi Masawe
4.Vodacom
5.Forencic Bureau na vielelezo vyao ni Print out ya vodacom simu ya mshtakiwa no 2,report ya uchunguzi kutoka Forensic Bureau.

Sambamba na hayo Jopo la Mawakili wa Mhe.Mbunge na Mkewe linalowakilishwa na wakili Msomi John Mallya(Difensive Counsel) wametoa Notisi ya Mdomo (Oral Submission) kuhusu mashtaka waliyosomewa washtakiwa hao na kuiomba Mahakama itupilie mbali kesi hiyo.
Hivyo basi Hakimu wa Mahakama hiyo Mhe.Nestory Baro Ameairisha Kesi hiyo hadi tarehe 03.02.2017 siku ya Ijumaa.

Mbunge huyo wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe.Godbless Lema alisomewa Kesi nyingine yakuhamasisha Maandamano Kesi namba 352,wakili Msomi Mallya alisema "Kwamujibu wa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 46 ya katiba inasema Vyama vya siasa vinaruhusiwa kuandamana na kufanya Mikutano ya hadhara" baada ya wakili huyo kuwasilisha hoja zake kwa kirefu sana wakili wa Serikali Alice Mtenga Alizijibu hoja hizo na kuomba Mahakama impe muda wa ziada wakufanya submission ili aweze kujibu vizuri lakini Hakimu wa Mahakama hiyo Mhe.Bernad Nganga alisema "Sitoi muda wa ziada kwasababu ulishasimama na kujibu hoja"
Upande wa serikali walikuja na shaihidi mmoja anayefahamika kwajina la Joji Katabazi hata hivyo jopo la Mawakili wa Utetezi (Difensive Counsel)walisema shahidi huyo waliye kuja nae hawezi kuji hoja hizo wanaoweza ni Majaji watatu wa Mahakama ya Kikatiba,sambamba na hayo Mahakama imeelekeza Watakapo muhitaji shahidi huyo watamuita kwa sasa hawezi kuji hoja hizo.
Hivyo basi Kesi hiyo imearishwa hadi tarehe 08.02.2017 siku ya Jumatano.

Imetolewa
Tarehe 18.01.2017 na:
Mozec Joseph
Afisa-Habari Kanda ya Kaskazini.
e7bd12be9ee46f183d0d4dcdbcd639aa.jpg
 
Narrow minded
Kutokujua siasa ni shida sana.. Upinzani upo kikatiba na husitegemee wapinzani wakuchore vzr., Tundu Lisu alilileeza ilo vzr. Lema ni mwanasiasa na kazi yake ni Siasa tena jasiri sana..think wide.
 
Kweli hii ni njia sahihi ya kutumia kodi zetu? Kupoteza muda wa raia na mahakama kwa mambo ya kitoto namna hii jamani. Poleni sana watz.
 
Hapo ndio nashindwa kuelewa lengo la hawa wanasiasa ni kumkomboa mwananchi mnyonge au wapo kwaajiri ya kupimana ubavu.
Lema anafanya mambo ya kitoto hadi kamwambukiza mkewe, utatumaje matusi kwa mkuu Mkoa? Au alidhani namba yake ya simu ni hewa haijulikani?
 
Acha utoto (ujinga) orodhesha hivyo viwanda kama vitafika hata viwili!!
Mpaka sasa kwa mimi ninavyofahamu Mheshimiwa Rais amezindua viwanda vitatu, kiwanda cha Azam kule Mkuranga, kiwanda chaki Simiyu, na kiwanda cha Jambo food processing kule Shinyanga. Kuna vingine vingi tu vimezinduliwa. Kule Arusha kuna viwanda kama viwili vilizinduliwa.
 
Back
Top Bottom