Ikwanja
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 2,082
- 581
Acha Utoto (ambao ni Ujinga) juilize hivyo viwanda vimeanza kujegwa lini? yeye viwanda vyake ni upinzani hahahahahahahahhhaMpaka sasa kwa mimi ninavyofahamu Mheshimiwa Rais amezindua viwanda vitatu, kiwanda cha Azam kule Mkuranga, kiwanda chaki Simiyu, na kiwanda cha Jambo food processing kule Shinyanga. Kuna vingine vingi tu vimezinduliwa. Kule Arusha kuna viwanda kama viwili vilizinduliwa.