idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,317
afadhali waliochora kwenye ngozi kuliko wenye mioyo michafu kama wanasiasa dhalimu
Bora wewe umepunguza ukali wa picha.!!
afadhali waliochora kwenye ngozi kuliko wenye mioyo michafu kama wanasiasa dhalimu
Huh!? Huyo mchumbae ana tramp stamp?
Eti KAAAAABANG hahaha
Wabongo hao mkuu,ila hawaoni kuna watu wanajichora na maina mwili mzima na wanaingia kwenye nyumba za ibada kufunga ndoa hilo kwao halina tatizo,tatizo kwao ni tattoo tu
Huyu kumbe ndio First Lady wa Green City...mma akalindwana haka kanunu fijho...
Gweeehhh,malafyale..ukhumbula fiki nkhulumbaa kwa kyadema...!!??
Huyu kumbe ndio First Lady wa Green City...mma akalindwana haka kanunu fijho...
Aibu gani sugu anaishi bila ndoa na huyo dada wapigavkura tumweke kundi gani ?
...haikuhusu,mtu akiwa mbunge sio mpaka muda wa kwenda chooni unaiga,kisa mbunge wako,vingine muachie yeye mwenyewe...Mbunge wetu unatupa picha gani? labda mimi nina kasumba mbaya nikiona demu ana tatoo ni kama kabaang ni mwake mwake!!
Ya Ngoswe...muachieni Ngoswe mwenyewe.Mwawashwa..ni!