Unajua huyu jamaa Zitto kuna problem kidogo ndio ni haki yake kuoongea na clouds lakini kuna vitu unaweza kuviona vidogo lakini vikawa na impact kubwa ni sawa na Shibuda alipohudhuria sherehe ile huku chama kimesusia ni kitu cha kawaida lakini ukichunguza kuna shida. Zitto kuruhusu sauti yake huku kuna mbunge wa chama chake wana conflict na sehemu hiyo ni kama clouds wanataka kuwagombanisha Sugu na Zitto bila wao kujua in a long run inaweza kuleta hisia tofauti kwa wanachama na viongozi wengine.Safi sana Sugu pigania haki bila kuchoka na sisi tunakuunga mkono, Huyu Zitto nae akatoe sauti yake kwenye lile tangazo la fiesta. Haina maana huku Sugu anajitahidi kupigania haki halafu Zitto nae anaunga mkono.
wasanii wetu nao washituke wanataka nani hawapiganie? Mkuu sugu kaanzisha njia lakini wao bado tu wamelala
baadaye wanalia
Nafurahi kwamba wameruhusiwa kufanya BURUDANI NYUMBANI
hivi ile sauti ninayoisikia kwenye matangazo ya Klauzi Sugu akirap, "yamenikutaa yamenikuta....yamenikuta mzee mwenzangu....". Halafu baadaye anasifia fiesta na kuwakaribisha wananchi kwenye tamasha hilo. Je hii ni sauti ya Sugu kweli? Je kama ni sauti yake kweli, alitamka maneno hayo kwa ridhaa yake, au alilazimishwa?
Its true wanatumia hii sauti kwenye tangzo lao kumbe ni ya Sugu tena inaonekana aliitoa akiwa nje ya nchi, hawa jamaa mafia basi wamlipe kwa kuitumia kwenye biashara yao.Hii clip ni ya zamani, kama Clouds wanatumia kuvutia wana Mbeya bila ridhaa ya SUGU, Basi jamaa anaweza kuwashitaki wamlipe fidia
sasa akifanya kesho lengo kwani litafikiwa! Anataka leo kwasababu ana lengo!Huyu, wenzake walishaandaa tamasha kabla yake, yeye anachoshindana ni nini? Anataka kuwaharibia kazi zao? Si angesubiri leo wenzake kesho yeye. Asiruhusiwe kabis kufanya hiyo shoo yake. Anania mbaya huyu.
kuwaunganisha wasanii wote alishawahi siku za zamani kabla ajawa mbunge kupitia events za HIPHOP SUMMIT wasanii walimwelewa na kumsapot ila baadae wakamsaliti baada ya kutishiwa sana wengine kama WAGOSI WA KAYA,CRAZY GK,MR NICE nk wakapotea kabisa,yeye kilichompata ni kuvamiwa kwake na kuibiwa kila kitu chake ikiwemo vifaa vya studio alivyotoka kununua punde..nafikiri akitumia hii kama starting point kufanya mabadiko itasaidia sana.kwani wasanii asilimia99 wanamuunga mkono sema wanaogopa kujitokeza hadharan.kumbuka wasanii karibu wote wa bongo wana elimu ndogo sana,maskini.ivyo wamejaa uhoga na ndio silaha wanayotumia clouds kuwamalizaSidhani kama njia sahii ya kumaliza ubepari kwa Wasanii wetu ni kuingia bifu na Clouds entertainment. Nia ya Sugu siyo mbaya lakini ilipaswa awaunganishe wasanii ili wajue wapi wananyonywa kisha kutafuta njia mbadala itayoleta tija zaidi kwa wasanii. Hadi sasa ni kweli kabisa hao Prime time promotion ndio walioshika soko zima la sanaa hapa Tanzania. Sugu ilitakiwa awe na subira na kujipanga kuwaangusha kwa mikakati makini akishirikiana na wasanii wote maana hao watu wanamtandao mkubwa sana na wamesha washika akiri Wasanii wengi sana.
Umenena mkuu,itabidi tuwasaidie hawa wasanii najua kupitia hapo Sungu alipoanzia ndio mjadala mkubwa utakuwepo na kufanya hata sisi tulionje ya biashara ya muziki kuingilia kati kuokoa vijana wetu kwa kutengeneza mazingira huru bila kuwepo na chombo au anae monopolize industry nzima! Maana hadi maafisa wa masoko wa makampuni makubwa wanatumika sana kwa malengo binafsi.kuwaunganisha wasanii wote alishawahi siku za zamani kabla ajawa mbunge kupitia events za HIPHOP SUMMIT wasanii walimwelewa na kumsapot ila baadae wakamsaliti baada ya kutishiwa sana wengine kama WAGOSI WA KAYA,CRAZY GK,MR NICE nk wakapotea kabisa,yeye kilichompata ni kuvamiwa kwake na kuibiwa kila kitu chake ikiwemo vifaa vya studio alivyotoka kununua punde..nafikiri akitumia hii kama starting point kufanya mabadiko itasaidia sana.kwani wasanii asilimia99 wanamuunga mkono sema wanaogopa kujitokeza hadharan.kumbuka wasanii karibu wote wa bongo wana elimu ndogo sana,maskini.ivyo wamejaa uhoga na ndio silaha wanayotumia clouds kuwamaliza