Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,305
- 12,969
Waliowengi ni akina nani wakati wote ni CCM?
Walio wengi walishinda na hoja ikapita!
Walio wengi walishinda na hoja ikapita!
Akatunge hadithi hukoWabunge dizaini hii ni mizigo
Na wewe mkuu umeanza kuwa mbumbumbu,huoni kosa lake?Kosa lake ni nini?
The same to Mwigulu NchembaSiku tozo hizo zinafutwa, SITASHANGAA KUMSIKIA AU KUMUONA ZUNGU AKIMSIFIA MFUTA TOZO KUWA NI MSIKIVU NA ANATOKA CHAMA SIKIVU..!!
Jibu la matatizo liko hapaUnafiki ni jambo baya sana kwa mwanadamu..niseme wazi,, nchi hii ni ngumu sana kuendelea kukiwa na wabunge wengi wa chama kimoja bungeni, walau ingekuwa nusu kwa nusu..
Napenda nione anayeipinga hii comment yako.huyu mpuuzi juzi mbele ya press amekiri kuwa yeye na wabunge wanzake wa CCM wamejiridhisha kuwa hizi tozo ni nzuri tu ndiyomaana wamezipitisha.
Huko CCM zimejaa saa mbovu nyingi sana.
Nadhani waongeze makali na zile pesa walizoomba kuongezewa lifanyike hivyo, ili wananchi akili zuturudie. Wametuona mazezeta kwa kilichofanyika October 2020 na tukawapokea waende kutuwakilisha bungeni, huo ndiyo uwakilishi wao. Kidumu chama cha mapinduzi.Awa jamaa wanakula Ela yetu bure kabisa Bora kuvunjilia mbali Bunge
Jamaa mjinga kweli....Eti nimewasiliana na Rais as if yeye ni too important na Rais atamsikiliza..
Wenyewe c walisema huwa mida fulani kwenye ishu nzito huwa wanalala wakishuka wanaitikia NDIOOOOOOOOOOO 99.99% bac sawaApeleke unafki huko.
Mpaka Bajeti inapitishwa, kwa nini hakusimama kuupinga huo mpango wa tozo?
Leo baada ya kuona reaction ya wananchi ndiyo anaanza kubwabwaja?
Na pia aache kutuona wajinga Kama yeyeHakuziona Dodoma Bungeni? Mwambie yeye ni mtu mzima aache unafiki.