Wewe MPUUZI kweli kweli, kwani Rais alikuwa nani? Kwanini alifumbia macho huo UHARAMIA na ukaendelea kutamalaki nchi nzima? Huko CCM kumesheheni WAPUMBAVU tupu.Sasa hii evidence yako magu hapo anaingia vipi??
Muulizeni CAG.Nami nina wasiwasi sana na uhai wa miradi ya kimkakati maana Hayati hatukujua anatoa wapi hela za kuifadhili, alidai tu ANAWABANA MAFISADI sasa ameenda si wananchi wala viongozi tupo njiapanda tunaifanyaje hii makitu yake!
Hebu acha upumbavu wewe, umeshindwa kuiorodhesha hapa utaweza kumtembeza huko kwenye miradi hewa? Weka wewe namba yako hapa ili tukupigie, Pumbavu.Owky, sasa umekubali kwamba miundo mbinu na miradi ilokamilika ipo.!!!!!
Kama Bado una wasiwasi, weka hapa namba yako ya simu tafadhali, nikutafute, nataka nikuoneshe miradi iliyokamilika ,
ya huyu inaemwita fisadi na mwizi. Nchi nzima ntakupeleka kwa gharama yangu..
Mwenye bangi wear usiekuwa na hoja..Acha bange wewe.
CAG ametuonesha WIZI WA KUTISHA uliofanyika chini ya serikali ya Mwendazake, wewe kwani huitambui hiyo ripoti? Lazima utakuwa mnufaika wa huo wizi, au pengine ni nyumba ndogo ya hao waliokuwa wanatafuna kodi zetu. Pumbavu.Mwenye bangi wear usiekuwa na hoja..
Mpumbavu amesema moyoni mwake kwamba hakuna Mungu.Hebu acha upumbavu wewe, umeshindwa kuiorodhesha hapa utaweza kumtembeza huko kwenye miradi hewa? Weka wewe namba yako hapa ili tukupigie, Pumbavu.
Sasa kwanini hutaki kukubali kwamba kazi ya Mungu haina makosa? Jiwe hatunaye tena, jina la Bwana lihimidiwe.Mpumbavu amesema moyoni mwake kwamba hakuna Mungu.
Anaeamini uwepo wa Mungu , hawezi kumkejeli kiongozi aliewekwa madarakani na Mungu, maana ameagizwa kumtii..
Waafrika ni bure kabisa.
Yani mpaka machuma ya reli tunanunu toka nje halafu reli yenyewe ni kwa ajili ya kwenda Rwanda ambao wataweka kituo kwa ajili ya soko kubwa la Kongo.
Pesa zote zinazotumika kwenye miradi mikubwa zingeanza kwa kuwaita wawekezaji wa viwanda vya chuma na pia mitambo ya kusafisha dhahabu.
Ujenzi wa kulazimisha kwa kuwakamua wanyonge ni mgumu sana.
Nilitegemea wabunge waliokuwa wamemufaika na sera za ugandamizaji wa haki kwenye chaguzi wakisema kuwa wapunguziwe mishahara na posho zao ili miradi aloyoiacha Mtangulizi wa Mhe
. Samia inakamilika ili 2025 washinde kwa haki.
Mungu yupi huyo anaweka watu madarakani kupitia wizi wa kura?Laana kwako,
Unaemkejeli kiongozi aliewekwa madarakani na Mungu..
Nimekuambia kwamba yeye kujenga miundombinu haimfanyi kuwa kiongozi bora wala kiongozi wa kukumbukwa.Hakuna kiongozi duniani ambae aliwahi kujenga miradi mingi kama Hitler lakini leo hii anadharaulika kuliko viongozi wote ambao waliwahi kutokea katika dunia hii.Uongozi siyo kujenga miradi.Kwa hiyo kumsifia Magufuli kwa sababu ya jujenga miradi ni upumbavu wa hali ya juu sana.Owky, sasa umekubali kwamba miundo mbinu na miradi ilokamilika ipo.!!!!!
Kama Bado una wasiwasi, weka hapa namba yako ya simu tafadhali, nikutafute, nataka nikuoneshe miradi iliyokamilika ,
ya huyu inaemwita fisadi na mwizi. Nchi nzima ntakupeleka kwa gharama yangu..
Mimi sijafa kwa sababu nilijikinga.Yeye kafa kwa Corona kwa sababu alikuwa anakana kuwa Corona ipo na hakujikinga.Mbona wewe hujafa kwaio corona
Ficha ujinga wako!Hitla ujerumani ni shujaa acha upunga
Unapodai kuwa Magufuli hahusiki katika mauaji hayo kwani Uhuru Kinyata huyu Rais wa Kenya wa sasa hivi alivyoshitakiwa the hugue kwa makosa ya mauaji wakati wa uchaguzi yeye akiwa Rais kwani ni yeye aliingia mitaani kuua watu?Serikali au jeshi la police mkuu wangu? Tusichanganye mambo bro.... Hizi kesi zipo police na zinashughulikiwa na police, apa labda mkuu wa jeshi Saimoni Siro ndo atatujibu haya ila iyo evidence hakuna sehemu imemtaja magu!!! Magu alikuwa ni mkuu wa nchi lakini anawasaidizi wake sasa issue zingine zinaishia kwa wakuu wa idara jamaa angu!!!! Wanaokufa ni wengi nakupotea hao ni unaowajua wewe lakini tukisema kesi zote magu ndo muhusika sio sawa brother
Mkuu hiyo emoj umeipata wapiπππ
Anawafaa nyie mnaojiita wanyonge. Na ndio maana kuna mdau mmoja amedadavua sifa zenu nyie wanyonge.Pengine raisi mshamba ametufaa zaidi kuliko raisi mjanja
Mjanja..