Mbunge: SGR itajengwa kwa miaka 81

wachaga na wazanzibari wengi sasa hivi wamo mitandaoni kumtukana makufuli na kabila lake hawalali usiku na mchana
 

hongera kwa kusema ukweli. usaliti waliomfanyia makufuli ni kama wa libya kwa gadaffi tusubiri dhambi iwatafune
 
Angekuwepo ungekamilika baada ya muda gani? Hizo ni assumption tu unazoongea. Kipande kidogo cha barabara cha kutoka Kidatu kwenda Ifakara aliahidi tokea mwaka 2016 lakini amefariki hata kukamilika bado
 
Mradi umesha kufa huo
 
Mkundu wewe umeme wa REA tunakatwa tuki nunua sisi wateja acha uongo jamaaa lenu limefeli vibaya sana
 
Miradi kama hii ni muhimu kwa ukuaji wa uchumi wa nchi yetu, yatupasa kuhakikisha inakamilika.
 
Cha ajabu awamu iliopita kabla ya magufuli ccm ilikuwa imezama ,,magufuli akafanya jitihada zake ccm ikakaa kwenye reli yani ilifika kipindi ukivaa tisheti ya ccm unaonekana waajabu nakuzomewa juu.
Naona tutarudi kule
Kama ilirudi kwenye reli kwann alitumia vyombo vya usalama kuiba kura!??? Akili huna shoga wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…