Mbunge salvatory machem (chadema )ukerewe contacts wanted | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge salvatory machem (chadema )ukerewe contacts wanted

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kipanga mlakuku, Jun 12, 2011.

 1. k

  kipanga mlakuku Member

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF mimi ni mzaliwa wa ukerewe ila kwasasa nipo hapa Nairobi nchini Kenya kwenye moja ya mashirika ya kimataifa linalojihusisha na maswala ya kuendeleza wakazi wa maeneo ya visiwa katika nyanja za mazingira, elimu , afya na kilimo sasa nimejaribu kupiga chapuo sana kuhusu ukerewe nayo ijumuishwe kwenye mradi mkubwa utakaoanza mwezi wa saba mwanzoni mwaka huu nimekwama kitu kimoja kuna mambo kadhaa nataka nimjulishe mbunge wa ukerewe Mh Salvatory Machem kuhusu hiyo project na pia kuna vigezo inabidi vifikiwe sasa nataka nimwambie hivyo vitu vyenyewe ili ajipange vizuri tufanikishe hii project na kuwasaidia wana ukerewe.

  Hivyo ndugu zangu wana jf na wanaukerewe naomba mwenye mawasiliano ya huyu mbunge wa ukerewe Mh Salvatory Machem anipatie maramoja, naomba email yake, simu ya ofisini na hata namba yake ya mkononi au hata Sanduku lake la posta ila tafadhali sana naomba mawasiliano yake yatakayonisaidia kumpata kwa haraka ikiwezekana leo au week ijayo.

  waweza kunipatia hapa jamvini hapa au nitumie kwenye email hii kwa sababu za kiusalama kipangamlakuku@hotmail.com

  ASANTENI WOTE NA NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWENU
   
 2. k

  kiche JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tafadhali jaribu kuingia kwenye website ya bunge nadhani utapata hizo contact
   
Loading...