kuna jamaa pia anatoka Dar,amegombea kama mara 3 kwenye kura ya maoni hapiti,nasikia amejipanga sana sasa kwa tiket ya CCM.mnaojua huko upepo ukoje.Natafuta jina lakeNiseme tu ni kweli kwamba Salome Mwambu itakuwa tabu sana kupita, japo Kuna mtu anapitapita Iramba, nadhanMbulu NAKEI (CCM) kama sikosei, vyama vingine vikiwemo TLP, NLD na hata UPDP havina nafasi ya kuchukua jimbo hilo wala kufikisha robo ya kura zote halali......propaganda za kwenye mitandao ni tofauti na hali halisi huko Iramba!