Mbunge Salome Mwambu hoi jimboni Iramba Mashariki

Mbunge Salome Mwambu hoi jimboni Iramba Mashariki

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
7,046
Reaction score
1,105
Salaam wanaJF. Mbunge wa Iramba Mashariki Salome Mwambu yuko hoi jimboni kwake kwani ameshindwa kutekeleza ahadi zake alizoahidi mwaka 2010. Jimbo halina miundombinu ya uhakika kama barabara.

Barabara zipo kama palio la n'gombe na hazipitiki wakati wa masika. Afya na elimu pia ni hoi. Wananchi sasa wamejiandaa kufanya mabadiliko makubwa hapo October 2015 kwa kukifuta kabisa Chama Cha Mapinduzi na kuchagua CHADEMA kama mwokozi wao.
 
Iramba mashariki itadumu chini ya ccm daima dawamu. Ataondoka salome atakuja jembe zaidi
 
Salaam wanaJF. Mbunge wa Iramba Mashariki Salome Mwambu yuko hoi jimboni kwake kwani ameshindwa kutekeleza ahadi zake alizoahidi mwaka 2010. Jimbo halina miundombinu ya uhakika kama barabara. Barabara zipo kama palio la n'gombe na hazipitiki wakati wa masika. Afya na elimu pia ni hoi. Wananchi sasa wamejiandaa kufanya mabadiliko makubwa hapo October 2015 kwa kukifuta kabisa Chama Cha Mapinduzi na kuchagua CHADEMA kama mwokozi wao.

Maendeleo yanaletwa na wananchi sio mbunge
 
Ukweli unatakiwa kuwekwa mbele kuliko siasa uchwalwa za ccm unaposema uwe unawaza co unatumia tumbo na njaa kuwaza maendeleo
 
Iramba mashariki itadumu chini ya ccm daima dawamu. Ataondoka salome atakuja jembe zaidi
Hivi nyie mifisiccm mna mgombea gani ambaye ni jembe? Msindai, Dr Msengi, Kisui, Kiula, Francis, ni majembe? Hayo ni mafisi.
 
Post nzuri ila umeniuzi hapo kwenye kutangaza magonjwa ya watu,
kwani hatuwezi jadili hoja za msingi bila kuingilia matatizo binafsi ya mtu? Tujitahidi kupembua la sivyo hata walio wetu tutawapoteza.
 
Salaam wanaJF. Mbunge wa Iramba Mashariki Salome Mwambu yuko hoi jimboni kwake kwani ameshindwa kutekeleza ahadi zake alizoahidi mwaka 2010. Jimbo halina miundombinu ya uhakika kama barabara. Barabara zipo kama palio la n'gombe na hazipitiki wakati wa masika. Afya na elimu pia ni hoi. Wananchi sasa wamejiandaa kufanya mabadiliko makubwa hapo October 2015 kwa kukifuta kabisa Chama Cha Mapinduzi na kuchagua CHADEMA kama mwokozi wao. Pia Salome yupo hoi kiafya kutokana na maradhi mbalimbali yanayomsumbua kama UKIMWI na Kisukari.

UKIMWI = Ukosefu wa Kinga Mwilini

UKIMWI unasababishwa na chronic diseases like leukemia, TB, Cancer and the mother of all HIV au VVU
 
mnanichanganya Tundu lisu ni Mbunge wa Iramba ipi na savimbi ni mbunge wa iramba ipi, hapo confused
 
Niseme tu ni kweli kwamba Salome Mwambu itakuwa tabu sana kupita, japo Kuna mtu anapitapita Iramba, nadhanMbulu NAKEI (CCM) kama sikosei, vyama vingine vikiwemo TLP, NLD na hata UPDP havina nafasi ya kuchukua jimbo hilo wala kufikisha robo ya kura zote halali......propaganda za kwenye mitandao ni tofauti na hali halisi huko Iramba!
 
mnanichanganya Tundu lisu ni Mbunge wa Iramba ipi na savimbi ni mbunge wa iramba ipi, hapo confused

Mkuu, Tundu Lissu ni mbunge wa jimbo la Singida mashariki. Mwigulu Nchemba ni mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi. Salome Mwambu ni mbunge wa Iramba Mashariki. Nadhani umenielewa.
 
UKIMWI = Ukosefu wa Kinga Mwilini

UKIMWI unasababishwa na chronic diseases like leukemia, TB, Cancer and the mother of all HIV au VVU


Hapo juu ni upungufu na sio ukosefu

Ukikosa kinga utaexist kwa sekunde chache tu
 
hILO LA UKIMWI UMEKURUPUKA KAKA,KISUKARI YES TUNAWEZA KUKUSIKILIZA KIDOGO
 
Back
Top Bottom