PreGE2025 Mbunge Nollo: Kuna Intaneti ya Mitandao ya Simu inasumbua kama kuni mbichi

PreGE2025 Mbunge Nollo: Kuna Intaneti ya Mitandao ya Simu inasumbua kama kuni mbichi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Mbunge wa Bahi, Kenneth Ernest Nollo amesema kuna mazingira kadhaa yanayosababisha Watu wengi kutotumia intaneti ikiwemo baadhi ya Mitandao ya Simu kuwa na huduma mbovu ya intaneti.
 
Mitandao yenyewe ni kampuni za watu binafsi lkn Bado n changamoto mitandao Yao ....Navuta picha tu je ingekuwa hii mitandao ya cm yt ipo chini ya serikali 🤔🤔🤔
Network cjui ingekuwajeee Tz
 
Nafikiri wanachukua zoezi jinsi watakavyofanya October kama walivyofanya 2020.
 
Back
Top Bottom