Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 3,119
- 1,428
Mbunge wetu RUHORO amekamilisha ahadi yake ya kutoa Simu Janja na komputa moja kwa wananchi wa kata ya Mabawe. Ahadi hizo alizitoa kwa nyakati tofauti tofauti alipokuwa ametembelea Kata ya Mabawe mwaka jana.
Simu janja inakwenda kuongeza idadi ya Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi sanaosajiliwa katika mifumo ya CCM . kompyuta inakwenda kuondoa adha iyonakabili mafunzo ya komputa kwa vitendo.
Mahitaji hasa ya komputa ni makubwa sana hivyo Ruhoro anaomba mdau yeyote anayeguswa na jambo hili kujitoa ili angalau shule hii na nyingine ziweze kupata komputa ili kuwezesha watoto wetu kujifunza kwa vitendo.
Wenu
Ernest Ruhugu
Katibu wa Mbunge
Jimbo la Ngara