Ni vizuri kuset hiyo device yako ili watu wasipate mwanya wa ku-question kazi nzuri uliyofanya Mh Nassari. Unaweza pia kuweka off sehemu ya kuonyesha tarehe na muda. Otherwise, tunakushukuru kwa kuonyesha kuwa kuna watu wanafanya biashara ya kuwanunua madiwani kwa kutumia nyadhifa walizonazo. They don't even care how the tax-payers money will be used in the by-elections. Inauma sanaMbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA), Mhe. Joshua Nassari, ametolea ufafanuzi kuhusiana na Video kuwa 2008 ni mwaka ambao kifaa kilitengenezwa.
"Video imeandikwa mwaka 2008 kwa kuwa ni mwaka kifaa kilitengenezwa, wakati nafanya ile kazi niliteseka sana kufuta na mnajua kuwa mimi sio mtu wa IT.
"Mwaka 2008 yule DAS anayeonekana alikuwa ni Mwanafunzi wa Sekondari, na huyo Mkurugenzi alikuwa Mtumishi wa Kada za chini alikuwa hajapata nafasi ya sasa.
Cha msingi ni kuwauliza hii sura ni ya kwako? Sauti na Ofisi ni yako?", alisema Joshua Nassari Mbunge wa Arumeru Mashariki.
Wewe utakuwa na upungufu wa akiliNi vizuri kuset hiyo device yako ili watu wasipate mwanya wa ku-question kazi nzuri uliyofanya Mh Nassari. Unaweza pia kuweka off sehemu ya kuonyesha tarehe na muda. Otherwise, tunakushukuru kwa kuonyesha kuwa kuna watu wanafanya biashara ya kuwanunua madiwani kwa kutumia nyadhifa walizonazo. They don't even care how the tax-payers money will be used in the by-elections. Inauma sana
Nashukuru kwa wewe mwenyewe kuchukua muda wako kunijibu, maana kwenye ule uzi wa BAK wanaufipa walikuwa wanaweweseka tu pasi na kunipa jibu la uhakika. Ubarikiwe!Mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA), Mhe. Joshua Nassari, ametolea ufafanuzi kuhusiana na Video kuwa 2008 ni mwaka ambao kifaa kilitengenezwa.
"Video imeandikwa mwaka 2008 kwa kuwa ni mwaka kifaa kilitengenezwa, wakati nafanya ile kazi niliteseka sana kufuta na mnajua kuwa mimi sio mtu wa IT.
"Mwaka 2008 yule DAS anayeonekana alikuwa ni Mwanafunzi wa Sekondari, na huyo Mkurugenzi alikuwa Mtumishi wa Kada za chini alikuwa hajapata nafasi ya sasa.
Cha msingi ni kuwauliza hii sura ni ya kwako? Sauti na Ofisi ni yako?", alisema Joshua Nassari Mbunge wa Arumeru Mashariki.
Chanzo: Mwananchi
Maybe, nitapima mkojoWewe utakuwa na upungufu wa akili
Cha msingi ni kuwauliza hii sura ni ya kwako? Sauti na Ofisi ni yako?", alisema Joshua Nassari Mbunge wa Arumeru Mashariki.
We ndo mzembe wa kufikili,,, maana hutaki kujua ila unataka kubishana kitu usichokijua,,,,,kwa hiyo kila video inayotengenezwa itaonesha kuwa kifaa kimetengenezwa mwaka husika...??
Hii ni explanation kwa wazembe wa kufikiri.
huu ni uthibitisho kuwa hii ni kitu Ya kupikaniliteseka sana kufuta..
haoni kwa kauli hiyo tu alikuwa anacontaminate evidence.
tutajuaje mengine ambayo yalikuwa katika uwezo wake.
video zote zilizoko you tube zinaonesha tarehe ya vifaa vilivyotumika kurecord!!We ndo mzembe wa kufikili,,, maana hutaki kujua ila unataka kubishana kitu usichokijua,,,,,
Akili ukishaiweka katika mazingira ya ubishi lazima utake kubishana na kila kitu,,, swali ni je, sauti na wahusika wanaoonekana kwenye video sio wenyewe,,?? Na mipango inayozungumzwa kwenye video imetokea lini,,?? Ukiachia mbali date settingsvideo zote zilizoko you tube zinaonesha tarehe ya vifaa vilivyotumika kurecord!!
Hii inahitaji elimu ya IT?
Jana tuliambiwa ni settings!!
Sasa alijibu swali la "2008 " kwa sababu ipi?Akili ukishaiweka katika mazingira ya ubishi lazima utake kubishana na kila kitu,,, swali ni je, sauti na wahusika wanaoonekana kwenye video sio wenyewe,,?? Na mipango inayozungumzwa kwenye video imetokea lini,,?? Ukiachia mbali date settings