Mbunge Nassari: Video imeandikwa mwaka 2008 kwa kuwa ni mwaka kifaa kilitengenezwa

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,261
Mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA), Mhe. Joshua Nassari, ametolea ufafanuzi kuhusiana na date zinazoonekana kwenye Video kuwa 2008 ni mwaka ambao kifaa kilitengenezwa.

"Video imeandikwa mwaka 2008 kwa kuwa ni mwaka kifaa kilitengenezwa, wakati nafanya ile kazi niliteseka sana kufuta na mnajua kuwa mimi sio mtu wa IT.

"Mwaka 2008 yule DAS anayeonekana alikuwa ni Mwanafunzi wa Sekondari, na huyo Mkurugenzi alikuwa Mtumishi wa Kada za chini alikuwa hajapata nafasi ya sasa.

Cha msingi ni kuwauliza hii sura ni ya kwako? Sauti na Ofisi ni yako?", alisema Joshua Nassari Mbunge wa Arumeru Mashariki.

Chanzo: Mwananchi
 
Mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA), Mhe. Joshua Nassari, ametolea ufafanuzi kuhusiana na Video kuwa 2008 ni mwaka ambao kifaa kilitengenezwa.

Ni vizuri kuset hiyo device yako ili watu wasipate mwanya wa ku-question kazi nzuri uliyofanya Mh Nassari. Unaweza pia kuweka off sehemu ya kuonyesha tarehe na muda. Otherwise, tunakushukuru kwa kuonyesha kuwa kuna watu wanafanya biashara ya kuwanunua madiwani kwa kutumia nyadhifa walizonazo. They don't even care how the tax-payers money will be used in the by-elections. Inauma sana
 
Wewe utakuwa na upungufu wa akili
 
Mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA), Mhe. Joshua Nassari, ametolea ufafanuzi kuhusiana na Video kuwa 2008 ni mwaka ambao kifaa kilitengenezwa.

"Video imeandikwa mwaka 2008 kwa kuwa ni mwaka kifaa kilitengenezwa, wakati nafanya ile kazi niliteseka sana kufuta na mnajua kuwa mimi sio mtu wa IT.

"Mwaka 2008 yule DAS anayeonekana alikuwa ni Mwanafunzi wa Sekondari, na huyo Mkurugenzi alikuwa Mtumishi wa Kada za chini alikuwa hajapata nafasi ya sasa.

Cha msingi ni kuwauliza hii sura ni ya kwako? Sauti na Ofisi ni yako?", alisema Joshua Nassari Mbunge wa Arumeru Mashariki.

Chanzo: Mwananchi
Nashukuru kwa wewe mwenyewe kuchukua muda wako kunijibu, maana kwenye ule uzi wa BAK wanaufipa walikuwa wanaweweseka tu pasi na kunipa jibu la uhakika. Ubarikiwe!
 
Video imeandikwa mwaka 2008 kwa kuwa ni Mwaka kifaa kilitenegenezwa,wakati nafanya ile kazi niliteseka sana Kufuta na mnajua mi sio mtu wa IT,Mwaka 2008 yule DAS anayeonekana alikuwa ni mwanafunzi wa Secondary,na huyo mkurugenzi alikuwa Mtumishi wa kada za chini alikuwa hajapata nafasi ya sasa,cha msingi ni kuwauliza hii sura ni ya kwako?,Sauti,na ofisi ni yako?"-Joshua Nassari Mbunge Arumeru
 
We ndo mzembe wa kufikili,,, maana hutaki kujua ila unataka kubishana kitu usichokijua,,,,,
video zote zilizoko you tube zinaonesha tarehe ya vifaa vilivyotumika kurecord!!
Hii inahitaji elimu ya IT?
Jana tuliambiwa ni settings!!
 
Akili ukishaiweka katika mazingira ya ubishi lazima utake kubishana na kila kitu,,, swali ni je, sauti na wahusika wanaoonekana kwenye video sio wenyewe,,?? Na mipango inayozungumzwa kwenye video imetokea lini,,?? Ukiachia mbali date settings
 
Video mtoe wenyewe
bado kujijibu mjijibu wenyewe
kweli Akili ndogo ndio ilio tawala siasa za Tanzania
 
Akili ukishaiweka katika mazingira ya ubishi lazima utake kubishana na kila kitu,,, swali ni je, sauti na wahusika wanaoonekana kwenye video sio wenyewe,,?? Na mipango inayozungumzwa kwenye video imetokea lini,,?? Ukiachia mbali date settings
Sasa alijibu swali la "2008 " kwa sababu ipi?
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom