Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari akiwasili Makao makuu ya Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU Jijini Dsm, kuendelea na mahojiano ya kile wanachokiita ushahidi wa Picha za Video zilizonaswa zikionesha Jinsi madiwani wa CHADEMA katika baadhi ya kata Mkoani Arusha walivyorubuniwa kwa Pesa ili kujiuzuru na kujivua Uanachama.
Dogo kakaba mpaka penati,akomae nao mpaka dakika ya mwisho,wakigoma ailete hoja kwa wananchi au aombe kufanya private prosecution mahakamani au tume ya maadili