Mbunge Nasari Anajuta...

tupe list ya hao waliofuzu mkuu!
 

Umbea nao una mambo yake JF kuwe na kanga za kuwapa watu sasa
 
Aina hii ndio washauri wa Nassari waliomshauri akimbie JKT. Sasa wanataka kumpoza asiendelee kujilaumu. Too late...

Swali letu la Msingi ni je , umejuaje kama Nasari anajilaumu kama wewe sio Mama Salma Kikwete wake tuanze kukuita Shemeji ????
Hili ndo swali la Msingi Kabisa ambalo unalikwepa
 
Swali letu la Msingi ni je , umejuaje kama Nasari anajilaumu kama wewe sio Mama Salma Kikwete wake tuanze kukuita Shemeji ????
Hili ndo swali la Msingi Kabisa ambalo unalikwepa

Ungeuliza kistaarabu ungejibiwa, lakini kwa vile wewe ni wale watu primitive wanaoona jinsia ya kike kama TUSI basi nakuacha hivyohivyo na uprimitive wako. Umezaliwa kwa mwanamke, wanawake ni mama zetu - TUWAHESHIMU. Kuwa mwanamke sio TUSI. JIREKEBISHE...
 
the so calledZe Macopolo

We Dakitari uchwara bado hupo, yani serikali ya Tanzania ilipoteza kabisa fedha bora ingetoa hizo hela kwa vicoba kungekuwa na manufahaa kuliko kwenda kusoma Czechoslovakia na kurudi hakuna unalochangia
 

Nawe ni GREAT THINKER? Ha ha ha haaaaaaa
 


Ana Utoto mwingi sana Too Much Childish
 
Bora mafunzo yameisha. Ni muda muafaka wa kumkamata Mwigulu sasa.
 

post za kitoto kabisa hizo mbona mulugo hajaenda? au yeye sio kijana?
 
ZeMarcopolo,

..kwa kweli hili suala la wabunge kupewa mafunzo ya wiki chache halafu kukabidhiwa vyeti na Raisi ni ubabaishaji mkubwa.

..kwangu mimi yule aliyekosa kuhudhuria "mafunzo" yale, kwa sababu zozote zile, namuona wa maana kuliko aliyeshiriki ubabaishaji na utapeli ule.

NB:

..nimepitia JKT, na nimeshangazwa na kitendo cha wabunge kufanya pass out parade[kwata la kuhitimu mafunzo] wakionekana kuwa wachafu wa mavazi na mwili.



cc: gobore, Nyenyere, Kichuguu
 
Last edited by a moderator:
Nasari ni kijana anyejitambua sijui kama kweli anajuta kwani mafunzo yataendelea kuwepo na yeye anayo nafasi bado ya kujiunga na mafunzo hayo
 

Mkuu, huu ni mwanzo wa kozi za JKT kwa viongozi.

Ninaamini kadri siku zinavyoenda kozi itazidi kuboreshwa kutokana na uzoefu unaopatikana.

Kumbuka hawa ni wawakilishi wa majimbo ambao wanatakiwa kuwepo kwa wananchi wao, kwahiyo kuwaandalia kozi ya muda mrefu ni vigumu.

Watu wenye uzoefu inapaswa muichukulie hii kama changamoto na kuandika makala za kushauri jinsi ya kuiboresha kozi.

Yule mbunge aliyekumbia kozi kwa kusikiliza habari za kijiweni sio mzalendo. Kwanza inatia aibu kuona mbunge haliamini jeshi la nchi yake.
 
Sio lazima uhudhurie JKT ndo uwe mkakamavu.Mbona kuna polisi wengi tu ambao kazi yao inawataka wawe wakakamavu lakini ni legelege?
 
vipi umetumia kipimo gani kupima kujuta kwake???????????? i mean kijutamita kipi????????????

Iyena iyena bwna wanachkesha sana................anyway madhara ya kansa (UCCM) hayo yanaendelea kudumaza fikra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…