Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,724
Spika wa Bunge Mh. Anna Makinda, ametangaza muda huu kuwa Mh. Mbunge Silima aliyepata ajali mbaya ya gari juzi na kumpoteza mkewe. Amefariki muda mfupi pale Muhimbili. Bunge limeahirishwa mpaka kesho kwa maombolezo. Poleni wanafamili wote na Bunge zima kwa ujumla wake.
RIP mheshimiwa, nilidhani ni wa huku bara nianze kushangilia jimbo lingine kuwa wazi kwa chadema.
<br />wewe sio chadema, wenyewe hawako hivyo.RIP mheshimiwa, nilidhani ni wa huku bara nianze kushangilia jimbo lingine kuwa wazi kwa chadema.
RIP mheshimiwa, nilidhani ni wa huku bara nianze kushangilia jimbo lingine kuwa wazi kwa chadema.
Bunge lime hailishwa baada ya mmoja wao kuaaga dunia kutokana na ajari iliyo tokea jana .R.I.P. MP wetu!!!!
<br />Kwa nini msubiri ajali ili mshangilie? Si CHADEMA ina nguvu ya umma, waueni tu mchukue hayo majimbo yenu.
tumia busara na siyo masaburi