Nani kati yetu hajawahi kulala kwny kochi au kiti nyumbani? Angekuwa eneo la kazi au bar tungeweza kumshangaa, ingawa kwa mwanaume kulala lala ovyo si sawa!
Ha ha ha jamani hapo ni wakati wa msiba wa marehemu mkewe,hapo amejiraza kimajonzi,kule bungeni ndo Kuna mabingwa wa mbonji hasa,Mr Msindi hata kumi bora hakamati,namber moja ni Wassira Hana mpinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.