Mbunge mpya wa kuteuliwa (Members Only)

Jamani msiwe mnafanya masikhala katika vitu sensitive,yaani huyu hapa awe mbunge?
 
huyu ndo mmoja wa wateule wa leo mkuu acha utani
 
ni vigezo gani ulivyotumia wakati hata ukuu wa wilaya hauonekani hapo
 
Mjumbe kama una number zake weka hapa tumtumie MPESA:smile-big:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…