Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,138
- 60,908
Ndicho mnachokiweza hapo ufipa
Kafue boxer za Dj na amsterdam hukoNapigia kura Conservative
Ila wewe inawezekana hata ulcers unazo kutwa kutetea ujinga wako huo
Ajira gani hii ya ukuwadi
Mimi napiga kura nasepa hapa na maendeleo nayaona mpaka taka zinabebwa na barua zinaanguka mlangoni
Sasa wewe unaejifanya mwanachama mtiifu wakati mama yako analala njaa wala hajua anastaafu na nini
Kwani siasa ni uadui,
Kwani siasa ni uadui,
Kule ni kupambana Kwa hoja. Kule hapingwi bashe anapingwa waziri WA Kilimo, differentiate the two
Kafue boxer za Dj na amsterdam huko
Mkuu hapo kwenye ongezeko la mshaharA sector Binafsi inamaana sisi waajiriwa WA Viwanda Vya wahindi mtatuongezea salary?Dhima kuu ya bajeti itakayoanza kutekelezwa kuanzia siku ya leo ni “Kuongeza Kasi ya Kufufua Uchumi na Kuimarisha Sekta za Uzalishaji kwa ajili ya Kuboresha Maisha.”
Kufanikisha dhima hiyo, Mhe. Rais Samia Suluhu anaweka mkazo katika kilimo, mifugo, uvuvi, nishati, uwekezaji na biashara.
Kwa kufanya yafuatayo;
-Serikali imeondoa kodi kwenye mafuta ya kula.
-Serikali imepandisha mishahara kwa watumishi wa Umma
-Serikali imepandisha posho za kujikimu kwa Watumishi wa Umma.
-Imepunguza kodi kwenye ngano.
-Serikali imeanzisha mfumo mpya wa manunuzi unaozingatia bei halisi ya soko.
-Serikali Imetoa ruzuku ya bilioni 150 kwenye mbolea ya mazao ya aina zote
-Usahili wa kazi utakuwa kwa lugha ya Kiswahili
-Majengo yote makubwa na masoko makubwa yatakatiwa Bima.
-Punguzo la kodi la Zuio asilimia 5 kwenye Filamu.
-Ongezeko la mshahara Sekta binafsi
-Serikali imesamehe ushuru wa mazao kwenye mbegu.
-Mama amesamehe kodi kwenye Nyavu za kuvulia samaki.
-Wamachinga wametengewa bilioni 45 kujengewa miundombinu na kuwezeshwa.
-Serikali ya Mama imeondoa VAT kwenye mtindi (Yoghurt).
Kijana wa hovyo kwny Taifa la wastaarabu..Na mboe aliiga wapi kukimbia bunge na kujifungia ndani na gloves nyeusi juu
Kama chadema wanavyoparuana mahakamani
Ukiskia akili ni nywele ndio hizi Sasa, sekta binafsi unaongezewaje mshahara na serikali?Mkuu hapo kwenye ongezeko la mshaharA sector Binafsi inamaana sisi waajiriwa WA Viwanda Vya wahindi mtatuongezea salary?
Asante mkuu kwa taarifa hii nzuri, mimi napenda kufahamu hayo maeneo yaliyoondolewa kodi au kupungiziwa kodi bei yake itashuka au itabaki hii iliyopo? Mfano ngano.Dhima kuu ya bajeti itakayoanza kutekelezwa kuanzia siku ya leo ni “Kuongeza Kasi ya Kufufua Uchumi na Kuimarisha Sekta za Uzalishaji kwa ajili ya Kuboresha Maisha.”
Kufanikisha dhima hiyo, Mhe. Rais Samia Suluhu anaweka mkazo katika kilimo, mifugo, uvuvi, nishati, uwekezaji na biashara.
Kwa kufanya yafuatayo;
-Serikali imeondoa kodi kwenye mafuta ya kula.
-Serikali imepandisha mishahara kwa watumishi wa Umma
-Serikali imepandisha posho za kujikimu kwa Watumishi wa Umma.
-Imepunguza kodi kwenye ngano.
-Serikali imeanzisha mfumo mpya wa manunuzi unaozingatia bei halisi ya soko.
-Serikali Imetoa ruzuku ya bilioni 150 kwenye mbolea ya mazao ya aina zote
-Usahili wa kazi utakuwa kwa lugha ya Kiswahili
-Majengo yote makubwa na masoko makubwa yatakatiwa Bima.
-Punguzo la kodi la Zuio asilimia 5 kwenye Filamu.
-Ongezeko la mshahara Sekta binafsi
-Serikali imesamehe ushuru wa mazao kwenye mbegu.
-Mama amesamehe kodi kwenye Nyavu za kuvulia samaki.
-Wamachinga wametengewa bilioni 45 kujengewa miundombinu na kuwezeshwa.
-Serikali ya Mama imeondoa VAT kwenye mtindi (Yoghurt).
Hebu tuache uongo,bashe kazaliwa nzega,nkoani tabora,kasoma nzega hadi sekondari,chuo kikuu kasoma mzumbe,huyo mama mtu wa zanzibar,alimsomesha bashe wapi?Fact:
Mjomba ni mama ambaye ni ROma-STAMina
Na mama ndie muingizaji mkubwa wa mbolea nchini, na ndie aliemsomesha Waziri wa kilimo
Ko mnataka Bashe afanye nini? Aache kurudisha fadhila
Mpina ana facts sanaaaaa
Waziri katoa takwimu za kimataifa juu ya bei za mbolea halafu Mpina anasema waziri kalidanganya bunge!!!Bei ya mbolea ni shs ngapi huko kwenu?
Ndiyo hoja yake
Hebu tuache uongo,bashe kazaliwa nzega,nkoani tabora,kasoma nzega hadi sekondari,chuo kikuu kasoma mzumbe,huyo mama mtu wa zanzibar,alimsomesha bashe wapi?
WanatuzoomCCM vs CCM Ni Ujanjaa Hawana Lolote Lile
Bashe ni mfanyabiashara kama wengine hana loloteWaziri katoa takwimu za kimataifa juu ya bei za mbolea halafu Mpina anasema waziri kalidanganya bunge!!!
huyu jamaa kavurugika sana, anatakiwa avute pumzi
anajifanya yeye yuko sahihi zaidi, hata kama kweli waziri kakosea njia sahihi ni kumfuata na kuzungumza nae kiungwana, lkn anavyo fanya ni wazi hana nia njema zaidi ya kudhihaki kazi nzuri ya Waziri.