Dhima kuu ya bajeti itakayoanza kutekelezwa kuanzia siku ya leo ni “Kuongeza Kasi ya Kufufua Uchumi na Kuimarisha Sekta za Uzalishaji kwa ajili ya Kuboresha Maisha.”Jamaa kapewa dili lakini anabweka nje ya ulingo
Gone are the days za lopolopo
Kumbe hawakutakiwa kuongozana wala kusalimiana kisa kupishana hoja???
Nb:
Serikali ya CCM inaongoza ng'ombe.
Wanasiasa wanatuchezea wanavyotaka..Usanii tu
Miaka 60 bado hatujielewi
Ubunifu zero maendeleo tuko nyuma
Miaka yote tutakuwa kwenye list ya nchi masikini
Hao Ng’ombe waliofanana na wachungaji eti
Nadhani Mh. Bashe na Mh. Mpina wakae meza moja wazungumze.Mbunge wa jimbo la Kisesa mkoani Simiyu ameendeleza tena moto wake wa kutoa hoja nzito nzito zenye masilahi mapana kwa taifa na safari hii akimbana kisawasawa waziri wa Kilimo mh Hussein Bashe kutokana na hoja zake za uongo zilizosababisha kuongezeka kwa bei ya mbolea huku akisingizia vita ya Ukraine wakati vita imeanza huku tayari mfuko wa mbolea unauzwa 130,000/=
Wanasiasa wanatuchezea wanavyotaka..
Nyekundu anakuambia nyeusi
Kesho nyeusi anakuambia nyekundu
Watu wanabakia kwakwakwakwa
Kama mazoba
Ova
Kwenye mbolea yupo sawa, bashe mwenyewe alikiri mbolea imeongezwa Bei nchini kiholelaJamaa kapewa dili alete mbolea lakini anabweka nje ya ulingo
Gone are the days za lopolopo
Bei ya mbolea ni shs ngapi huko kwenu?Mbunge wa kukurupuka.
eti anaomba muongozo wa spika kwa jambo lilopita kinyume na kanuni ya ya 76, kama mbunge anashindwa kuisoma kanuni ya 76 na kuielewa kuna walakini hata kwa hoja yake.
tatizo anakurupuka.
wabunge wetu mnatuaibisha, muda wote huo mnashindwa kuzielewa kanuni zinazo ongoza shughuli za bunge, dah!!
Walishapangana mda, ukute Bashe alishaandaa na majibu kabisaa lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akija bashe atawapiga blah blah na kiingereza chake cha Nzega mtampigia makofi [emoji122][emoji122][emoji122].
Walishapangana mda, ukute Bashe alishaandaa na majibu kabisaa lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SahihiWakulima wameathirika mno na bei ya mbolea tuache siasa.
Kwani babu yako siyo mzee aliyekufa?
Mumeo kapata hasara kubwa sanaKwani babu yako siyo mzee aliyekufa?
Mumeo kapata hasara kubwa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tabu tupu lol.[emoji23][emoji23][emoji23]
Wamekuwa wasanii siku nyingi
Yule mzee aliekufa kawaharibu hawa
Yaani kila leo takwimu tu mpaka samaki akatupa idadi zao