Chuck j
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 2,358
- 815
Nimeshangazwa sana na urushwaji wa matangazo na picture wa star tv leo,,Tangu asbh pcture na houba vilikuwa vinaenda,,sambamba,,mara zamu ya mh kiwia wa Ilemela wa cdm alipoanza kuchangia hotuba ya wzr mkuu,,nilikuwa nasikia sauti tuu picture hamna,,nikitune tbc anaonekana,,. Mpaka mwisho alipotakiwa na waziri na naibu spika aithibitishie bunge kuhsu madai yakutaka kuuwawa na wanaccm ndo wakamwonesha,,kwa sekunde kumi na tano tuu,,huu ni uungwana ? na ni maadili ya vyombo vya habari? Au kuna nini na mmiliki wa star tv mh , Diallo,,Bado ana kinyongo kwa kushindwa? mwenye kujua atujuze tafadhali..