Kwa nini bado tunakumbatia hawa wabunge wa kuteuliwa na rais kwenye mfumo wetu wa vyama vingi? Nafikiri hii inawapa advantage chama tawala kuongeza wabunge japokuwa kuna wachache kutoka upinzani. Mbunge alitakiwa apatikane kwa merits zake kwa kuchaguliwa fairly na wananchi, na sio mapenzi binafsi ya rais....this is very anti-democracy!