Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 338
Hakuna Madakitari wa kuwatibu viongozi wa CCM cos they are so special. Dada nenda kutibiwa India baada ya huko pitia Uingereza ku check afya yako kabla ya kurudi nyumbani. Utakapokuwa Uingereza mpigie simu Waziri mkuu atakuja kukusalimia hapo Uingereza.Nina imani kama bado upo Chalinze Bunge litakodi ndege ije ikuchukue hapo. Ugua pole dadapole sana dada,tibiwa muhimbili usiende nje ya nchi.
KUMBE MZURI SANA!.......
Ni dada yako nini, au ndo wewe mwenyewe? lol😉pole sana dada,tibiwa muhimbili usiende nje ya nchi.
Mkuu JoshPole sana mama, maana kial wakati watu muhimu sana kama wewe na wengine wazalendo ndio wanapata ajali. Mungu saidia kwa hili
Ni kuanzia 2005. Ni speechless sana kwa sababu ni mbunge wa kuteuliwa!
Pole bibie. Mungu akusaidie upone haraka uchaguzi uko around the corner ni wakati wa kujitayarisha.
Huyu mbunge mbona simjui
Ni kuanzia 2005. Ni speechless sana kwa sababu ni mbunge wa kuteuliwa!
KUna haja ya kufanya utafiti wa kina kujua kuna nini kati ya Gairo (kuanzia maeneo ya Pandambili) had Dodoma kuna nini hasa kinachosababisha ajali mara kwa mara katika maeneo hayo
Mtoto anaita balaa jamani mwenye picha yake full aweke hapa
Ni dada yako nini, au ndo wewe mwenyewe? lol😉
Anyway, pole sister Lucy.