Ajali haina kinga. Hakuna mkono wa mtu hapo. Ingekuwa ajali ya risasi tungesikia polisi wetu wangeibuka na hoja kuwa jamaa alipigwa na kitu chenye ncha kali
ningekuwa mimi kigwa,baada ya lile sakata ningebadili dereva,garage ya kufanya service magari yake, na viwanja vya kujirusha!pole sana kigwangwala!wewe jipe moyo.mungu bado anapenda uishi,ila kuwa makini