Nimeona namna ambavyo hatuko sharp kwenye huduma ya kwanza. Hata kumtoa pale imechukua muda mrefu na kusababisha kutokuwa na usikivu bungeni hata Mbunge aliyekuwa anachangia ilibidi akatishwe mara kwa mara kwa sababu ya kelele. We are not serious!
[h=3][/h] Bungeni asubuhi ya leo mambo si swari mbunge aanguka ghafla katika kiti chake Kikao cha bunge la bajeti kinachoendelea mjini Dodoma asubuhi hii kimesimama kwa muda baada ya mbunge mmoja mwanamke kuanguka na kupoteza fahamu wakati mbunge wa jimbo la Ludewa Mhe.Deo Filikunjombe akichangia .Jina bado halijafahamika na chama chake
Alikuwa amekaa tu wakati mbunge wa njombe alikuwa akichangia hoja,pamoja na yote mbunge huyo hakucheza fair play aliendelea kuongea mpaka m'kiti alipomsimamisha kuongea na haikutosha jamaa aliadai muda wake utunze