Mbunge kaugua ghafla

Mbunge kaugua ghafla

Ipi dot com

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
306
Reaction score
166
Kuna mbunge mwanamke kaanguka gafla bungeni bado hajafahamika jina
 
Aaaaaa.......kwani kikao hiki wanamalizaga salamaaaa......??????
 
Nangalia tbc live kuna mbunge amezidiwa bungeni anapewa huduma ya kwanza
 
Hata mimi nimeona muheshimiwa fulani kaanguka gafla na wamemtoa nnje haraka sana!
 
Nahisi atakua ni mbunge wa CCM maana ndio wabunge wanaoongoza kwa kuanguka ovyo akiongozwa na mwenyekiti wao!
 
mbunge wa wap na chama kipi i???
 
Usingizi umemzidi? Kwani naambiwa wanakesha kwenye clubs tena siku za kazi. Aibuuuuuuuu.
 
Nimeona namna ambavyo hatuko sharp kwenye huduma ya kwanza. Hata kumtoa pale imechukua muda mrefu na kusababisha kutokuwa na usikivu bungeni hata Mbunge aliyekuwa anachangia ilibidi akatishwe mara kwa mara kwa sababu ya kelele. We are not serious!
 
mbunge gani huyo .. alikuwa anatoa hoja au anajibu maswali au ilikuwaje ???? tupeni ufafanuzi
 
Back
Top Bottom