Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mwanza, John Nzilanyingi akizungumza na vijana wa jimbo hilo amesema hakuna maandamano yatakayofanyika Disemba 9, 2025.
"Tarehe 9 hakuna maandamano, Natamani tutume ujumbe kwa mabeberu ambao wanataka kutuchonganisha vijana wa jiji la Mwanza wamekataa maandamano zaidi ya yote wamechagua haki na utulivu ndani ya Jimbo letu, ndugu zangu Jimbo la Nyamagana hakuna kuandamana isipokuwa tunakula bata"- Amesema Mbunge John Nzilanyingi