Mbunge John Mnyika akanusha kujiuzulu Unaibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara

Troll IF unalo, jamaa (siyo mvulana) amekanusha kuwa hajajiudhulu wadhifa wake.
===
Moderators wataliweka sawa hili.
 
Ni wazi umetumwa na aliyekutuma tunamjua mwambie missien failed
IMG_20171205_202009_340.jpg
 
Hahahaha... Hii taarifa itakuwa si ya kweli ila chadema wameshaanza kuhudhuria chooni kwa matumbo ya kuhara..
 
Tangu niibiwe kura zangu za umonitor shule ya msingi.
Nakaa mbali na siasa kabisa

Wapige Samasoti ila wajue Watanzania tunataka maendeleo.
 
ondoka brother! na kibamba 2020 bora tuwape CUF kuliko wewe hakuna ulilofanya huku..

cha ajabu zaidi ni bora tungekuona hata ukiwa unapiga kelele kuwatetea watanzania kwa ujumla wao, kama TL hata wao tu uko kimya ati leo ndo unagundua kuja kututumikia ina maana kule ulibanwa sana ama,!! we nenda tu hata mbowe akiondoka sisi tutabaki, kuendeleza chama...tulipofika sasa kama ni mpenda nchi hii huwezi kuwa kigeugeu, na kama unamuunga raisi kwani nilazima uondoke kwenye chama chako?

mtaondoka woote mi nitakuwa wa mwisho kabisa kuondoka.
 
Hivi hii taarifa kama si ya kweli utaendelea na msimamo wako huu?
 
Back
Top Bottom