Mbunge John Mnyika akanusha kujiuzulu Unaibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara

Kazi ipo,Mbowe chama kinakufia hiki.Jamani sasa nchi bila upinzani si ndo itakuwa ndio mzee kila kitu.Im sad kwa kweli.It is now or never.Mbowe hebu jiuzulu uenyekiti.
Hakiwezi kufa yetu macho chadema kimekutana na mangapi magumu. Kumbuka raia ndo wenye Itikadi
 
Troll naona mshahara umepanda Lumumba sasa na mgomo mmemaliza..

Maana naona mmekuja kwa kasi sana na wenzio akina Lizaboni, Rutashobolwa nk.. Genta nasikia anataka dau kubwa kidogo. Jitahidini bwana muokoe jahazi maana naona 2020 inakaribia na ilani bado inasuasua..

WATANZANIA WANAHITAJI MAENDELEO AMBAYO MMESHINDWA KUYALETA TOKA 1961 SASA MKIWEZA KUYALETA MPAKA 2020 WANAWEZA WAKAWAFIKILIA, LAKINI YAWE MAENDELEO YA KUONEKANA NA SIO KULAZIMISHWA KUYAONA..
 
KUPAMBANA KUIUA CHADEMA NI UHARIBIFU WA RASIRIMALI ZA TAIFA HILI.

WATANZANIA WANATAKA MAENDELEO AMBAYO YANASUA SUA TOKA 1961, TOKA 1961 CHAMA KINACHOONGOZA NI CCM MPAKA WA LEO 2017 SASA KWANINI NIPOTEZE MUDA KUPAMBANA NA CHADEMA WAKATI ANAYEKUSANYA KODI NA MWENYE JUKUMA LA KUPELEKA DAWA HOSPITALI NI CCM..
 
bora ange jiuzulu ubunge wake tuitishe uchaguzi mpya jimbo la kibamba.
Hakuna maendeleo kabisaa ktk jimbo la kibamba na haswa kiluvya, barabara mbovu nk.
 
Back
Top Bottom