Mbunge John Mnyika akanusha kujiuzulu Unaibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,558
2,000
IMG-20171205-WA0008.jpg


More to follow:

=======

UPDATE

John Mnyika akanusha Uvumi
Mbunge wa Kibamba, John Mnyika amesema taarifa kwamba amejiuzulu nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA -Bara hazina ukweli.

Mnyika ambaye amekuwa akitajwa tajwa kwamba atakihama chama hicho, ametoka kauli hiyo baada ya kuwapo taarifa kwamba amejiuzulu wadhifa huo.

Akizungumza na MCL Digital leo Jumanne Desemba 5, 2017 jioni kuhusu taarifa zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba amejiuzulu; Mnyika amesema, ‘’Si kweli ni taarifa za uongo.’’

Chanzo: Mwananchi
 

dolevaby

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
11,525
2,000
Kazi ipo,Mbowe chama kinakufia hiki.Jamani sasa nchi bila upinzani si ndo itakuwa ndio mzee kila kitu.Im sad kwa kweli.It is now or never.Mbowe hebu jiuzulu uenyekiti.
Kwanini unaumia Chama kikimfia huamini ndio itakuwa Faida kwa Chama
Chetu?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom